Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Mpaka leo hii December 2022 Rais Samia ana hali mbaya sana, wabaya wake wamemfanya ile mbaya maana kila kona anachukiwa na yeye hajijui kabisa, na hao hao wabaya wake kwenye vikao vilivyoisha wamemchimba bonge la biti. Yaani hana jinsi, 2025 hawezi
 
Kwa hiyo akilazimisha tutarajie Mpango kuwa rais? Barabara za kigoma zitakamilika, miundombinu itakuwa sawa na wengine na mazao yetu yatafika sokoni
 
Ndani ya miaka mitano ifike ya JPM atakuwa na Trilion 59 akienda kwa makamuzi haya lakini akikanyagia mafuta mshare ukasoma speed meter 90 to 120 itaweza kuwa Trilion 70 hii ndo raha yakuwa na nchi kubwa yenye kila aina ya neema za Mungu inakufanya Wabara wakuamini kazi nzuri Sana.
 

Attachments

  • IMG-20221217-WA0062.jpg
    41.5 KB · Views: 24
Hivyo namshauri Mama afanye tuu maandalizi ya kuisubiria hiyo sauti kwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu yake ya pili ya Rais Samia, kwa yeye kukubali kuwa rais wa awamu moja tuu.

Nakubaliana nawe kwa hiyo hoja tena waondoke wote Rais na Makamu wake la sivyo Makamu wa Rais abadilishwe ili Samia agombee na kijana ila kuleta hamasa na kuvuna kura nyingi mwaka 2025.
 
Sukuma gang mmepwaya sasa
 
Mmejawa na ubaguzi kiasi cha kutisha lkn zote ni chuki za kuondokewa na mlezi wenu
 
We kipenseli2021 , sasa hapa chawa ni nani kati ya anayemshauri Mama 2025 itoshe apumzike achague mtu wa kuimalizia ngwe yake, na unayemchagiza Mama aendelee hadi 2030?.
P
Hivi mkuu Rais Samia angemalizia ngwe yake 2030 au na yeye alikuwa anamalizia ngwe ya Magufuli? Nadhani 2025 sasa ndio ngwe mpya inaanza rasmi naunga mkono aje dume, hata hapo baadae wanawake waendelee kusubiri.
 
Hivi mkuu Rais Samia angemalizia ngwe yake 2030 au na yeye alikuwa anamalizia ngwe ya Magufuli? Nadhani 2025 sasa ndio ngwe mpya inaanza rasmi naunga mkono aje dume, hata hapo baadae wanawake waendelee kusubiri.
Katiba inasema akihudumu kwa miaka mitatu au zaidi, ataweza kugombea awamu moja tu.
 

Mkuu Pascal Mayalla salam kwako.
Bandiko lako linafikirisha sana na nikupongeze kwa kuwa makini kutokutaja kama hiyo "voice from Within" ilikujia wewe binafsi kwa njia ya njozi au maono (vision) AU wewe ni mpasha habari tu. Mkuu Pascal Mayalla naomba na mimi niongeze kwamba kama YEYE ameamua kweli Mama yetu kipenzi aishie tu 2025, basi YEYE atamleta Rais mpya ambaye atavaa Miwani yenye kioo cha mbao ili asiwaonee huruma mafisadi.

Mkuu Pascal Mayalla ninasema mapenzi ya YEYE yatimizwe.

Ahsante
 
Sukuma gang mmepwaya sasa
Sukuma Gang inaingiaje kwenye bandiko hili?. Kwanza siamini kama kuna kundi la Sukuma Gang, hili ni kundi fictitious ambalo don't exist in reality, ila liko ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa wanao ogopa vivuli!, sasa wanamuogopa hadi marehemu.

Japo Sukuma Gang ni fictitious group that doesn't exist at all in reality, lakini limeleta madhara makubwa kwa vilaza wa kisiasa walioaminishwa uwepo wa Sukuma Gang, wakaamini!, hivyo kudhania karibu kila Msukuma ni Sukuma Gang hivyo kumuogopa kila Msukuma na wengine kuwajeruhi!.

Nilijaza fomu fulani kuomba kugombea nafasi fulani ya uongozi kwa ushindani wa wazi, nafasi zilikuwa 8, wagombea 186!.
Nikashikwa sikio kuwa moja ya kigezo cha mchujo ni fyekelea mbali Sukuma Gang wote!. Masikini kuna mgombea mmoja Msukuma, he was one of the best of the best, alikatwa kwa kudhaniwa ni Sukuma Gang na kuna kokoro fulani bonge la kokoro, ambapo kichwani ni totally empty shell, likapita!.

Taifa limekosa the best kwa ujinga wa uoga wa Sukuma Gang!.
P
 
Amen, amen!, hata JPM alikuwa ni chaguo la YEYE, na ni YEYE aliyemuita kwake kwa kumtwaa na ni YEYE aliyemleta Samia, hivyo ni YEYE ndiye aliyetupangia 2025 ni nani!. Kama YEYE amempangia ni Samia, then 2025 ni Samia. Kama hii sauti niliyoisikia kuhusu 2025, ni yake YEYE, then ni YEYE mwenyewe ndiye atamtaarifu Samia.

P
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P
 
Ni YEYE akaemtaarifu Samia kuwa si yeye atakaesimama Bali mwingine Sio!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…