Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Mkuu Pascal Mayalla

Heshima kwako

Hili Aya imeandika hapa ungeandika kwa Kiswahili ili nasi tuelewe hizo code. Hapa kuficha umeficha. Fasiri yoyote ni sahihi. Mtego huu.
 
Brother Pasko nakushauri anza kuandika vitabu kama kile cha kusadikika. You are very good at that i think.
 
Nyuzi zako huwa kwa namna flani zinaakisi ukweli ukizifatilia nimeshashuhudia mengi ukiyaelezea na kweli yametokea kwenye hili napata hisia flani kama itakuwa kama ulivyoandika mwandishi mkongwe wenye kupuuza na wapuuze ila muda na nyakati vitatuonyesha ukweli wa nyuzi yako.
 
Naona kitu fulani kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba ndani ya CCM hii. Naiona nguvu yake kuliko makada wengine wote. Nafikiri ndiye chagu la "deep state" kwa sasa baada ya sakata linaloendelea la DPW, na pengine kuvuja kwake ilikuwa ni mahususi kwa ajili ya ujio wake.

Zile kauli za JK na Makamba Sr. katika Mkutano Mkuu wa CCM zilificha kitu fulani kuhusu Rais SSH. Kwa jicho la tatu zilikuwa na ujumbe fulani kuhusu nafasi ya urais kuelekea 2025.
 
Mkuu mbenge , nayaheshimu mawazo yako.
P
 
Mkuu mbenge , nayaheshimu mawazo yako.
P
 
Voices from within
 
Kwa Dr Tulia Imesha maana kashachafuka haaminiki Tena
 
Wazanzibari hatuwataki tena Tanganyika ni waharibufu wa mali za Tanganyika wabaki kwao
 
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila
P.
Naona kitu fulani kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba ndani ya CCM hii. Naiona nguvu yake kuliko makada wengine wote. Nafikiri ndiye chagu la "deep state" kwa sasa baada ya sakata linaloendelea la DPW, na pengine kuvuja kwake ilikuwa ni mahususi kwa ajili ya ujio wake.

Zile kauli za JK na Makamba Sr. katika Mkutano Mkuu wa CCM zilificha kitu fulani kuhusu Rais SSH. Kwa jicho la tatu zilikuwa na ujumbe fulani kuhusu nafasi ya urais kuelekea 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…