Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Kifuu cha nazi !! Mbona mnawadhalilisha Watanganyika? Huyo uliyemsema atakuwa na tofauti gani na baba yake? Ufisadi mtupu. Ukoo huu umelaaniwa ni washirikina,wezi na wauaji hawafai kabisa!Wanaudhi sana,muda sio mrefu utasikia wanasema Riziwani awe P.M
Hatufai tuMwansasu anasemwa Ila Hapana
NiceWomen Rulers
/
Lyrics
Main results
They say women will rule,
This world in time to come,
It will be a heck of a thing,
To see a woman ruling she husband,
Saying you got to wash,
Don't forget to cook,
Or see about the children and all,
Because she have to go,
To play cricket and play football.
Imagine,
Men washing the dishes,
Women gone to work,
Then your wife come home drunk on payday,
Beat you up she a making joke,
Imagine,
Women organising,
Beauty contest for we,
And some hard fool fellas like me,
Walking 'cross the stage in a bikini,
Imagine.
There will be a woman government,
That will be foolishness,
For in parliament they will be only discussing people business,
Will be she said,
That she said,
That they said that all a dem said,
The prime minister,
You know she cooked sour fish yesterday.
Imagine,
Men washing the dishes,
Women gone to work,
And your wife siddon in the wrong bar,
Cracking them dirty jokes.
Imagine,
You have a wild woman,
Luck she running 'bout wild,
You bring she up for maintainance
And she sayin' she i need a child,
Imagine.
Women will be coast guards,
Police and soldiers,
Big bus drivers, labourers,
Even scavangers,
If you have an ex woman with your wife,
She sure to beat you bad,
Saying its for you i working hard
While you bring in a girl in the yard.
Imagine,
A big creole man,
Washing he wife on the clothes,
Or he forget to saw she light
And she have kill him with those,
Just imagine,
That a big fat man calling out he is in pain,
And he tellin he wife Eileen,
You see you make me pregnant again.
Hmmmm,
Imagine,
Imagine,
What a world!
Mitambo ya kina Ticts
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndipo sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakaye kuja kugombea urais wa JMT kwa 2030, na kwa maoni yangu, Mwanamke huyu sii mwingine yeyote zaidi ya Dr. Tulia Akson Mwansasu, Spika wa sasa wa Bunge la JMT.
Mkuu Sang'udi , karibu.Trial and error.
Ameshatabiria hadi mwanamke mwingine tofauti na Samia (hakumtaja).
Mimi huwa najiuliza hivi watu huwa wanaisoma vizuri Katiba ya Nchi na kuielewa vizuri ??!Maza amefiti.
Si unazijua tena Porojo za Pasco akikosa teuzi anaanza kuwanga mchana kweupe.Mimi huwa najiuliza hivi watu huwa wanaisoma vizuri Katiba ya Nchi na kuielewa vizuri ??!
Je kwa madaraka aliyopewa Rais wa Nchi na Katiba hii yupo anayeweza kumtingisha na akatingishika ??!!
Hata ndani ya Chama nani anayeweza kumtingisha Mwenyekiti na akatingishika ??!!
Watu wajipange kwa 2030 !
Mengine ni Alinacha tu !!
Anatingishika vizuri sana. Wewe kuona hatingishiki inabaki kuwa wewe na maoni yako.Mimi huwa najiuliza hivi watu huwa wanaisoma vizuri Katiba ya Nchi na kuielewa vizuri ??!
Je kwa madaraka aliyopewa Rais wa Nchi na Katiba hii yupo anayeweza kumtingisha na akatingishika ??!!
Hata ndani ya Chama nani anayeweza kumtingisha Mwenyekiti na akatingishika ??!!
Watu wajipange kwa 2030 !
Mengine ni Alinacha tu !!
Paskali ni IQ kubwa ! ππSi unazijua tena Porojo za Pasco akikosa teuzi anaanza kuwanga mchana kweupe.
Tusubiri tuone ! ππAnatingishika vizuri sana. Wewe kuona hatingishiki inabaki kuwa wewe na maoni yako.
Ni mganga njaa TU Hana lolote...Mama mpaka 2030 TRUST ME ...Paskali ni IQ kubwa ! ππ