Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Update
1. Kwa mujibu wa bandiko hili, ilikuwa awe Huseni, sasa ni Filipo!. Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!.
P
 
Anatingishika vizuri sana. Wewe kuona hatingishiki inabaki kuwa wewe na maoni yako.

Nilishawahi kulisema hili kuwa pamoja na katiba kumpa rais mamlaka makubwa lakin bado akadhibitiwa.

Tena ilikuwa ni kipindi cha Magufuli. Nikawapa na mifano hata Nyerere mwenyewe alishindwa. Hili dubwasha CCM sio la mchezo mchezo. Wanaweza kukufanya lolote wakiamua.
 
Wakiisoma labda HAWAELEWI wasomacho [emoji1787][emoji1787]
 
Mimi naamini YEYE ameshamwambia Samia tayari ila kuna wapambe wakamwambia kuwa hakusikia vizuri kwani hiyo sauti ilikuwa na mikwaruzo
 
My always wish ni kumuona Hussein Mwinyi akishika Uraisi wa Jamhuri. I see him kufanya makubwa sana ila sasa ndio sijui kama itakuw hivyo. Nadhani Magufuli alikuwa anamuandaa kuwa Mrithi wake baada yake.
Mkuu @dystonia karibu pande hizi
P
 
Andiko zuri, lakini bado lina ukakasi. Tukianza 'kupanga' u-Rais kwa jinsia ipo siku tutapanga kwa dini, kabila, kanda, nk..Kama mwaka fulani ilisikika kuwa zamu hii ni ya watu wa dini fulani..!? Nadhani Mwalimu Nyerere aliliona hili na akaepusha kupanga u-Rais kwa kuangalia u-Bara na u-Zanzibar; ikapendekezwa kuwa kwanza atafutwe mgombea anayefaa bila kujali anatoka wapi, kisha mgombea mwenza atatoka upande wa pili wa muungano. Kwa upande wa Rais wa sasa (SSH), katiba inamruhusu kugombea kipindi kimoja tu (labda akatae mwenyewe); hivyo wana-CCM wakimpendekeza, haitakuwa ajabu. Hoja ya uanamme/uanamke kwa nyakati hizi ni hoja dhaifu sana!
 
Nakubaliana nawe kwa hiyo hoja tena waondoke wote Rais na Makamu wake la sivyo Makamu wa Rais abadilishwe ili Samia Hassan agombee na kijana ila kuleta hamasa wavune kura nyingi mwaka 2025.
 
Na akilazimisha , akafanya maamuzi tofauti na mipango ya YEYE ; litatokea jambo la ajabu hiyo 2025 mpaka ccm watabaki na mshtuko mkubwa .
 
Huyu Pascal Mayalla ni mtu anayeona mbali sana, unaweza kumuona kama mtu wa ajabu ila yeye akielezaga jambo amemaliza siku likitokea la kutokea huwa ana reply kwa kushusha Uzi wake wa alichokiandika. Much respect bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…