Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Kwahiyo 2025 tumchague Rais bora au tumchague Rais mwanamke?
 
Kwahiyo 2025 tumchague Rais bora au tumchague Rais mwanamke?
Kwa sababu, mchakato wa urais wa 2025 kwa vyama vingine bado, ila kwa CCM ndio inaeleweka, so far so good, mgombea wa CCM ndie the best, tusubirie hao wa upinzani, tulinganishe, tuchague mgombea bora na sio kwa sababu ni mwanamke!.
P
 
Pascal Mayalla hebu kuwa muwazi. Mama anatosha 2025 au hatoshi??

Binafsi nasema mama hatoshi, wewe je??
 
Kwa sababu, mchakato wa urais wa 2025 kwa vyama vingine bado, ila kwa CCM ndio inaeleweka, so far so good, mgombea wa CCM ndie the best, tusubirie hao wa upinzani, tulinganishe, tuchague mgombea bora na sio kwa sababu ni mwanamke!.
P
premonition: dr. hm. pres. jmt. 2025.
 
Noted.
For further clarification.
 
Wanabodi,
Mwaka 2025 sasa ndio huu, haya mambo ya bandiko hili, yameanza kujiseti.

Kwenye bandiko hili nimesema mambo makubwa 4.
  1. Mgombea urais wa CCM 2025 sio lazima awe mwanamke!.
  2. Mgombea urais wa Zanzibar 2025 sio lazima awe ni Dr. Mwinyi.
  3. Nimemtaja huyo mwanaume mgombea urais wa JMT 2025
  4. Nimemtaja rais wa Zanzibar 2025
Leo tarehe 1 January 2025, mgombea urais wa Zanzibar 2025 ametajwa rasmi Kuelekea 2025 - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

Hivyo jambo la kwanza tayari limetajwa, bado yale matatu!.
P
 
Huyu wa Zanzibar ni kupitia ACT , bado wa kupitia chama tawala hujamtaja.
 
Huyu wa Zanzibar ni kupitia ACT , bado wa kupitia chama tawala hujamtaja.
Its true sikumtaja mgombea urais wa CCM Zanzibar if mgombea wake wa mserereko, hata serereka, nadhani atakuwa Kombo ambaye sasa ni MFA. Kuna tatizo kidogo Zanzibar, kuna wanga wanadai kaka na dada, ni lila na fila, hawachangamani, yaani hawapatani!, hivyo dada asiposerereka, atatafutwa mtu mwingine na sio huyu wa kwangu, hili likitokea, inamaanisha Dr. ataserereka, na akiserereka, hawezi kukubali aibu ya kushindwa, hivyo uchaguzi wa Zanzibar, utakuwa vile vile kama kawa, kwa mtindo ule ule wa funika kombe mwanaharamu apite, na hapo ndipo moto sasa utawaka Zanzibar, OMO sio kama Maalim Seif, hatakubali hiyo funika kombe!.
P
 
Bahati nzuri wao wanaweza kuunda tena SUK mambo yakaisha.
 
OMO ni wa kutoka Upinzani !
Je wa kutoka Chama letu ?!
Obviously itakuwa ni The Incumbent !
Tanzania mainland. ? = business as usual The Incumbent again !
 
OMO ni wa kutoka Upinzani !
Je wa kutoka Chama letu ?!
Obviously itakuwa ni The Incumbent !
Tanzania mainland. ? = business as usual The Incumbent again !
Hili ndilo lengo la bandiko hili , wagombea urais wa 2025 wa CCM kwa pande zote mbili za muungano, bara na Zanzibar ni wanapitishwa kwa mserereko. Bandiko hili linasema hakuna mserereko both sides, ila kwa upande huu, CCM itaendelea, kule OMO anachukua!.
P
 
OMO anachukua kivipi Mkuu ? Anachukua fomu kwa niaba ya chama chake ?
 
Ccm wamesema watakubali matokeo ?
Hili sio la CCM, hili ni la Mama mwenyewe, ni muwaza haki, msema haki na mtenda haki.
Nimelisema vizuri kule mwanzo
P
 
Huwajui wahafidhina wa Ccm Zanzibar bado ....
Nawajua sana wahafidhina wa Zanzibar na mambo yao pia nayajua, hawajamsaidia lolote Samia kufika hapo alipofika na hawawezi kumfanya chochote Samia akiamua kuiacha demokrasia mchukue mkondo wake Zanzibar
P
 
Mkuu P,

Propaganda zilizoshamiri za mtawala wa sasa na kujinasibu kwamba wananchi wanamuunga mkono hapo nakataa 'from my bottom of my heart' walichonacho wananchi mtashangaa watakachokifanya.....they now reached at a point of no return.

Pili, songombingo wanazopitia CDM kuanzia 2024 zitahamia CCM 2025. Kosa kubwa sana walilolifanya CCM ni kumkaribisha Peter Msigwa ndani na kuanza vita na CDM hiyo sumu aliyoitumia ndio itazusha mgogoro wa kiuongozi ndani ya CCM na hata mgombea urais kupitia CCM huenda aliyepo akafikia hatua kususia kutokana na kuzongwa na wasaidizi wake wakionesha wenyewe ndio wanaweza kukikalia kiti.
 
Mkuu P,

Propaganda zilizoshamiri za mtawala wa sasa na kujinasibu kwamba wananchi wanamuunga mkono hapo nakataa 'from my bottom of my heart' walichonacho wananchi mtashangaa watakachokifanya.....they now reached at a point of no return.
Hili ni kweli, kwenye eneo hili mimi nimemshauri kwenye mada HII
Pili, songombingo wanazopitia CDM kuanzia 2024 zitahamia CCM 2025.
I doubt
Kosa kubwa sana walilolifanya CCM ni kumkaribisha Peter Msigwa ndani na kuanza vita na CDM hiyo sumu aliyoitumia ndio itazusha mgogoro wa kiuongozi ndani ya CCM
I dont think so, Msigwa anatumika tuu kama masizi kuichafua Chadema, baada ya uchaguzi, CCM watamdump, he is good for nothing!.
na hata mgombea urais kupitia CCM huenda aliyepo akafikia hatua kususia kutokana na kuzongwa na wasaidizi wake wakionesha wenyewe ndio wanaweza kukikalia kiti.
Sio kumzonga, huku ni kumwambia ukweli!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…