Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Huyu YEYE ni nani? na anapata wapi nguvu za kuamua kama yeye aendelee au aandae mtu?
 
Nawajua sana wahafidhina wa Zanzibar na mambo yao pia nayajua, hawajamsaidia lolote Samia kufika hapo alipofika na hawawezi kumfanya chochote Samia akiamua kuiacha demokrasia mchukue mkondo wake Zanzibar
P
Yaani akiamua kuitosa 'Ccm' sio?....unadhani ni rahisi ?
 
Ila OMO hana ile personality appealing na persuasive kama ya.Hayati Maalim Seif Sharrif.

Ni mwepesi tuu. Japo Wazanzibar kunyonywa na ccm wamechoka sana na wana umoja sana na support kubwa ya diaspora wao..

Ila Mwinyi kwa mamlaka aliyonayo akitaka kuwa raisi tena hakuna wa kumzuia. Ni mtu.smart sana halafu anaenda kama haendi hivi. Na mipango anayo ya.kutosha, Mjini mipango ni mtonyo.
 
Kumekucha, 2025 ndio hii na hiki kitendawili cha sauti hii kama ni sauti yake YEYE au ni sauti ya yeye tuu,kinakwenda kutatuliwa wiki hii kwenye mkutano Mkuu wa CCM!, kama ni sauti yake YEYE,hii inamaana mhusika mwenyewe atakuwa ameisha elezwa,hivyo atakieleza chama chake。

Kama ni sauti ya yeye,then,utaratibu wa kawaida wa CCM wa mserereko utaendelea。
p
 
Duuh! hatari kweli kweli. Rafiki wa Machawa wa Arusha anaweza kutinga ndani ya ofisi kubwa hadi tushangae.
 
Pasco bandiko lako limechanika
 
Ukibanwa vizuri utasema ukweli wa nani anayekuambia hizi habari 😁😁😁

Jokes tu mzee wangu, mzee wa sauti from within

Hiyo sauti uliyosikia inafanana sana na ile aliyo isikia Sheikh Yahaya

Nabii wa JF mwaka huu umelenga tena
 
Mkuu sipingani wala sina shaka kabisa na maoni yako, lakin ukiangalia kwa ndaani zaidi kuna watu (wanaume wa shoka) kama kina Nchimbi, Makamba, nape na wengine wapo katika bench wanasubiri nafasi hii hasa kwa mwaka 2030. Huoni katika maono yako kama itaweza kuchafua hali ya hewa ndani na nje ya chama chao?
 
Hivyo namshauri Mama kipenzi, as long as hajaambiwa, yeye aendelee tuu na maadalizi yake ya 2025 kwa kujiandaa yeye kama yeye,
Mkuu kwa maono yako mpaka sasa rais samia hana habari juu ya jambo hili na sasa tunamwona anazunguka mikoani kwa maana ya ziara ya Rais lakin chini ya kapeti ni kampeni za chinichini... Ikifika kipindi cha kampen rasmi huoni katika maono yako kwamba itampa ugumu mrithi wake kukubalika na wanachi maana itakua kama kadandia tren kwa mbele?
 
sometimes sio kila unachosikia kwenye the voices from within ni sauti kutoka kwake YEYE au ni maono, sauti nyingine ni sauti za kina yeye tuu na sio sauti yake YEYE
kumbuka kina yeye wakipaza sauti hua zinaumba japo anaeamua ni YEYE. Ila dalili ya mvua ni mawingu lakin mpaka sasa bado hakuna wala hatujaona dalili naamini kufIka June to JULY the voice from within will start to come out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…