Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Mawili ya haraka haraka baada ya kusoma post yako.
-Sukuma gang ipo hata kama wewe binafsi haukubaliani na hilo.
-Hiyo 'sauti from within' ni sauti ya shetani hivyo achana nayo kabisa.
 
Bila shaka hawa ndio walamba asali!
 
Bado haita kuwa tiba kwa nchi ama taifa letu kwa sababu wote ni wale wale ccm.

Huenda pale kwa Magufuli kabla haja kengeuka ilikua ni kipindi cha kuvuka kama taifa, lakini matokeo yake ndio vile tena.

Hata atokee nani, mwenye uwezo wa namna gani, mwenye haiba ya namna gani, iwe wa kike au wa kiume haitatufaa kitu ilimradi tu ni zao la ccm, tena iwe hii ccm asilia.

Hivyo awe huyo huyo mama au mwingine yoyote atakae tokea atokee tuu lakini upo wakati mmoja nuru itaipambazukia tena hili taifa.
 
Pascal salaam, jinsia ya mtu haiwezi kuwa kigezo cha mtu kugombea Urais! Soma Katiba na bahati mbaya wewe ni mdau wa Sheria.
Rais Samia kama atakuwa hai basi ndiye Mgombea wa CCM 2025!
Kuna succession battle after her comes 2030 na imeshaanza underground na hao Presidential hopeful ndo wanataka aende hadi hiyo 2030!
Verify your dots then utaona ninachokwambia.
If everything remains constant 2030 in CCM will be Two Horses Race between MLN and JRM.
Take it or leave it.
 
Kampuni inayojenga Meli ya MV Mwanza imelipwa 80% ya fedha za mkataba wote.Kazi iliyokamilika ni 65%.Kampuni imeuza share kwa kampuni nyingine.Kampuni ilikuwa imeajiri wafanyakazi 118 lakini wamepunguzwa hadi 22 tu.
Serikali ilikuwa wapi?????? Je miradi yetu ya kimkakati iko na hali gani????
 
Mkuu timu walamba asali wanataka watoto wao ndio wawevinara 2025 kwa kuanzia kwanza mtoto wa mzee mlamba asali februari 2025 na akishamaliza anakuja mtoto wa The Don mwenyewe aliyebaki kwa sasa.
 
Wewe haliwezi kuktisha kwa kuwa umefundishwa maadili na hao mashoga. Sikushangai.

Halinitishi kwa sababu maandiko yananifundisha kisasi na hukumu ni za Muumba. Kwa taarifa yako mimi hata nikichukia na kutaka kupasuka, siwezi kuibadili dunia. Ninachohangaikia ni kuwa na uhusiano mzuri na kumcha Mungu. Hayo mengine yako nje ya uwezo wangu.
 
Member wa TISS sawa tumekusikia, asante kwa taarifa kutoka jumba jeupe, Chief.
 
Kwa hiyo umejimilikisha utabiri? Sawa Sheikh Yahya. Ila kwa nini sauti ikuambie kwamba amuombe Dr Mwinyi na wala siyo Majalliwa au Mayalla? Mama yupo na ataendelea kuwepo. Naona mumeanza kutaka kumchokoza ili akasirike; Mama usikasirike, chapa kazi.
 
Chuki na ubaguzi ndio vinavyo watesa.
Kwanini wakati ule yule Mungu mtu wenu anagombea awamu ya pili msingemshauri amuweke huyo Hussen? Lakini hata Hussen angewekwa bado mngedai mtu mwingine,jinga sana.

Amekuambia ni voice from within. Na wewe leta ya kwako usawazishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…