Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Ewe mwana mtukuka, mwandishi nguli mwenye asili ya familia za kijasusi tuambie; mtu huyo alikaa eneo gani kwenye kikao Cha juzi ?
 
Issue sio kutukanwa, issue ni kulazimisha utukanwe
 
Huyu ni kanjanja. Njaa kali. Msomi wa gani huyu asieweza kuweka citation zenye authority kusapoti udaku wake?
 
Can you mu imagine Kigogo huyu ni nani?. Anza kutafakari, mimi nitakusaidia
Staili za kichawi ni zilezile, vilevile.
Kwa furaha ileile kama waliyokuwa nayo akina Sirro na Kingai. Ndugu enenda ukaungane nao covid 19 huko mahakamani.
Twakutakia heri na kusubiri aibu yao ambayo nadhani itakuwa yako pia. AMEN
 
Ahsante, ratiba ya zamu ya kulinda malaloni Burigi mwezi ujao iko tayari, nenda kaisome ili ujiandae.
 
Unalipwa ili uzidi kuivuruga chadema ila hutofanikiwa. Sukumagang mmeishapitwa na wakati
 
You do as I do sisomi mabandiko yake ila nasoma watu wanavyompopoa
 
Ana hoja za kijinga maneno mengi point ni moja tu kuishambulia Chadema na ni mtumishi wa umma je atakwepa lawama za kuhusika asilimia 100% katika kughushi chaguzi za 2019 na 2020??
Ni mtumishi wa umma kada gani ? Mbona mjinga hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…