Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

😂 Dereva atoke 😂
Devera akitoka lazima atupe gari mtaroni
 
Soon Kigogo huyu atabainika.
Now it's only a matter of time!.
Nimeliona andiko hili japo sijalisoma its contents lakini hii ni habari njema kwa Chadema View attachment 3064986 kwasababu itawaepushia karma ya machozi, jasho na damu ya makamanda hawa.

Hiki ambacho Chadema inakwenda kukifanya sasa, mimi niliwashauri kitambo CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Hata baada ya Chadema kushinda kesi mahakamani kuwa wametimuliwa kihalali, bado tuliwashauri Chadema
Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!
Na hili la kuwasamehe likija kutokea, mimi ni miongoni mwa tutakao farijika sana kwasababu tulishauri, tukapuuzwa, ila ushauri wetu unatekelezwa step by step Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

Wawasamehe tuu yaishe!.
P
 
Mjomba Mbowe, asante kwa kukomboa kikoba chetu, maadui zetu wameanza kujidhihirisha wazi.
 
Aisee!
😂 😂 😂 😂Wafuasi wa chadema hata wapewe mwalimu wa kuwafundisha kwa njia ya picha hawawezi kuelewa
 
Aisee wewe jamaa sio wa kawaida yote uliyoandika yanajitokeza
 
Lkn akina Pascal Mayalla hawa hawa ndiyo wanamlamba viatu huyo kigogo aliyefanya ubatili huo.

Watanzania tulilala kwa kweli, tulipaswa kujiuliza kwamba inawezekanaje wake wa viongozi wa juu wa chama wafoji barua bila waume zao kujua?
 
Aisee wewe jamaa sio wa kawaida yote uliyoandika yanajitokeza
Pasco mimi sijawahi kumdharau hata siku moja.

Inaonekana huwa yuko ndani ya system kabisa.

Akiandika kitu huwa anakificha kwenye maneno mengi mpaka uwe na akili ya kuchqnganua vitu ndio utaona.
Na akili za kuchqnganua mambo wafuasi wengi wa chadema wamenyimwa ndio maana huwa wanaishia kumkejeli.
 
Lkn akina Pascal Mayalla hawa hawa ndiyo wanamlamba viatu huyo kigogo aliyefanya ubatili huo.

Watanzania tulilala kwa kweli, tulipaswa kujiuliza kwamba inawezekanaje wake wa viongozi wa juu wa chama wafoji barua bila waume zao kujua?
Pasco Mayalla ana nyuzi nyingi sana humu za kuwashtua chadema, ila walikuwa wanampuuza maana walikuwa wanaishia kusoma title tu na mahaba kwa Mbowe
 
Swala la Akina Halima lilifanyika ktk mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi. Kwanza angalia selection ya watu walioteuliwa nikuonyesha kuwa lile jambo halikuwa la siri kwasabu nasikia kuna baadhi ya wake wa viongozi na michepuko wao wote wapo. Kwahiyo hili swala lilipangwa vizuri tu. Kwenye CDM kunajulikana kuna watu wanapenda pesa maswala ya chama ni baadaye kwahiyo mipango yote ilikuwa wazi kwa mabosi wakubwa na walikuwa wanajua kila kitu ndiyo maana mimi kwa upande wangu sijawahi kuwalaamu hata mara moja Covid19 na nisinge shauri wafukuzwe kwa sababu chama chenyewe kilikuwa na viongozi ndumi la kuwili.
 
Sio wafuasi tu wa chadema,hii ni shida kubwa sana ya watanzania kariba wote,ACT,TLP,NCCR,CUF,CCM na hao Chadema...nilicheka sana jana watu walivyokuwa wanamshambulia Kigwangala kwenye ujumbe wake kule X
Mayala atakuwa ni mtu wa system ya ndani kabisa,system iliyojichimbia chini ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…