Volkswagen Golf - Mkombozi wa Wanyonge!

Volkswagen Golf - Mkombozi wa Wanyonge!

Chuma za mzungu hamnaga zembe.

Mjapan anataka SIFA (reliability).
Mzungu anataka HESHIMA!! (safety, comfortability, power).

Ndo maana don Kidukulilo huwa anatukumbusha humu kwamba mjepu anatengeneza 'vyombo vya usafiri'. Mzungu anatengeneza 'magari'. Go figure!

-Kaveli-
Mjapan anatengeneza zote inategemea anauza wapi eg. Suzuki Escudo (Japan,Asia na Bara pendwa) then Vitara (Ulaya na America).
 
Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.

View attachment 2098960

View attachment 2098961
Ni wewe umeandika au kuna kitu umevuta...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Gari za wanyonge ni Vitz old model, cariana Ti, Starlet, Corolla 110 kama sijakosea, Swift old model na Nissan March kwa mbaaali.....

Hizi ndiyo gari ambazo spea za China na Thailand utapata hata kwa mangi gengeni..[emoji2960][emoji2960]
 
Kashfa hizi
 
Hio gari hapo pichani ni gari ya aghali kuimiliki wala sio ya wanyonge😅 ingekuwa starlet sawa ningekubali!
Hio kubadili set ya shock absobers tu inaweza fika million na ushee!
Daah wanawapiga tuu mkuu parts za VW zipo chini sana kama utaweza kuagiza mwenyewe hata Ford hivyo hivyo ukienda kwa wauzaji hapa kutaja milioni kawaida tuu niliwahi tafuta alternator ya Ford Ranger hapa nikaambiwa si chini ya 2m za kitanzania nilipoenda SA nikanunua kwa laki tano tuu...shocks absober na taka taka zote za miguu kama brake pads set haifiki hata laki nne uliza bei yake ukiwa Tanzania utadhani unanunua gari ingine...gari ambayo parts zake zipo juu uwe Tanzania au SA ni Range Rover na ndugu zake sio hizi za kichimba chumvi..
 
Disk Za sensor unazopata wapi?
Mkuu maroli yanamwaga mizigo Tanzania kila kukicha kutoka SA nasema tena vitu vya Range Rover ndio ujipange tena hizi za matoleo ya karibuni sio magari mengine SA parts zipo za kumwaga na maduka mengine wameshusha bei kama Nuggets car parts na duka lingine lipo mtaa maarufu Julis street watu wananunua kwa foleni...bei affordable harafu bidhaa zao nzuri mtu mwenye duka Tanzania anaweza kununua Julis na akapata faida akiuza Tanzania wengine wanauza hapo hapo Johannesburg na wanapata faida kutokana na ukubwa wa tofauti ya bei..
 
We jamaa una madini sana.

Japo unayaachia kidogo kidogo, humohumo tunaunganisha dots.

Ila shida yangu kubwa kuhusu S.A ni usalama.
 
Hakuna European car inayofaa Wanyonge. Narudia, Hakuna.
Mimi nadhani unaongelea kuhusu spare zake, spare za European car zinadumu muda mrefu na hiyo ni nafuu kwa mnyonge maana hatonunua spare part mara kwa mara
 
Back
Top Bottom