Volkswagen golf touran

Volkswagen golf touran

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
611
Reaction score
727
Nimeanza kuziona hizi gari sehemu kadhaa , vipi vipuri vyake vinapatikana?
Maduka yako sehemu gani , hapa DAR au Mwanza?
Mwisho vipi ubora wa hizi gari ,anayezijua aje atuambie , tumeanza kuchoka na Toyota sasa.
 
gari yoyote ya mjerumani usiulize kuhusu ubora, ungeulizia kuhusu upatikanaji wa spare tu na mafundi wazuri wa hzo gari kwa hapa tz! gari za mjerumani suala la ubora walishamalizana nalo siku nyingi sana
 
Sawa mkuu spea zinapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom