Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Mkuu sehemu kubwa ya maisha yangu barabarani, nazijua ligi za kila aina za kila aina ya watu.. huwa sishindani na mtu asie shindana.. huwa ligi serious nazijua.. unikute na mie kichwa imewaka mbona tutauana, sema now days nimechoka na sijui kwanini, unaweza nianzishia uchokozi nikabaki nakutazama tu haijalishi nipo na gari ganiπŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahahahaha ila VX-R ni unyama mwingi sana mle πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lile gari ni kubwa kinyama hata Y62 ni bonge la jigari yani kama unaendesha kagari kadogo ukipaki pembeni unaweza hisi umepaki pembeni ya Container πŸ˜…
VX-R wale wazee wa mambo yenu ndio mahala pake, mtu akiingia hatoki πŸ˜€πŸ˜€
 

Kina kitu kinaitwa *TOYOTA SIENTA SUV, Unakifaham..!
 
Muda mwingine umeweka funguo mfukoni Mara ktk ukaaji uibonyeze remote bila wewe mwenyewe kujua milango iko wazi tayari hapo.

Unakuta manyoya tu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unakuta wamekusaidia kuisafisha tu.. nashukuru gari yangu kama hujaifikia au hutazamani nayo hata ubonyeze hadi kulia haifunguki.. condition ya yenyewe kukubari mtazamane kwanza au uwe karibu nayo
 
Au baada ya ile ajali ya Tabora -Nzega iliyosababisha mpira uungue.......ila hongera kwa uamuzi huo ambao utatufanya tukusome sana hapa jukwaani
Sidhani kama ni ile , nimejikuta nakuwa mvivu kila nikitaka kupeleka moto najikuta mzito sanaa.. juzi kati nilikuwa na ka trip kadogo, hadi ist walikuwa wana nichakaza πŸ˜€πŸ˜€
 
Ha ha ha basi umekuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…