Aaah nimeghairi huyo RRONDO sijui anakujua mziki wako kaniogopesha balaa[emoji1787][emoji1787][emoji23]Ila ligi na wewe nimepata kibali cha wakuu zangu, kesho alfajiri na mepama nitakusubiri tangi bovu, tuzichape hadi pale mwenge tu.. inakuwa inatosha [emoji3][emoji3][emoji3]
Achana nae huyo....anaendesha Hadi tairi inaungua sio mtu mzuri kabisa huyo.Aaah nimeghairi huyo RRONDO sijui anakujua mziki wako kaniogopesha balaa[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mkuu nimasalimu amri[emoji119][emoji119]
Heshima ako mtakatifu mwanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππInakuwa kama hivi πππ.. nilikuwa zaidi ya 220kmhView attachment 1844523
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430]
Hii ni picha, but reality Murano ina muonekano mzrKabisa. Exrovert ndo wewe wa jinsia za magari siyo?[emoji23][emoji23][emoji23] ya kike na ya kiume.
Embu nijulishe hiyo Murano hapo chini na harrier kuna tofauti gani na hiyo ya kiume VW?
View attachment 1841926
View attachment 1841924View attachment 1841925
Utajua hujuiHio ni zaidi ya dharau msee, 100M back!
Hizi mbona kawaida sana.. binafsi nimezifanya sana.. unamuacha mtu au unacheza tu nyuma yake kumkela, unaona kabisa mtu anajitutumua aweke heshima na wewe unacheza nyuma yake, then unamuacha aone kama kakuweza, ndani ya sekunde chache umepita kama mshale ππππ... hakuoni tena .. hizi moments nita zimiss sanaHio ni zaidi ya dharau msee, 100M back!
G63 kuzipambanisha na hizo zingine ni utovu wa nidhamu πππHii ni picha, but reality Murano ina muonekano mzr
Check apo comparison utaiona kwa muonekano
Hahahahah unataka uuze chombo nini mzee mbona sentensi tata hizi π π πHizi mbona kawaida sana.. binafsi nimezifanya sana.. unamuacha mtu au unacheza tu nyuma yake kumkela, unaona kabisa mtu anajitutumua aweke heshima na wewe unacheza nyuma yake, then unamuacha aone kama kakuweza, ndani ya sekunde chache umepita kama mshale ππππ... hakuoni tena .. hizi moments nita zimiss sana
Daaah huyo kweli nunda khaaAchana nae huyo....anaendesha Hadi tairi inaungua sio mtu mzuri kabisa huyo.
Kama napata reward vile.....sitaki tenaYou never know...jaribu
Au ingekufa gari πππDaaah huyo kweli nunda khaa
So ningeingia nae ligi kumbe ningekufa[emoji22][emoji134]
Hii naonga mzee baba, makakti wangu unajua mzee kuvuta chuma matata sana E350 AMG mwakani Audi A7 Sportback au BMW M series hasa M5.. Hiyo mwakani lakini but kwa mwaka huu E350 AMG lazima iingie magetoni mitaa ya chalinze pale kati kati ππHahahahah unataka uuze chombo nini mzee mbona sentensi tata hizi π π π
Usiogope njoo upate ubatizo mtakatifu πππ pale ambapo Tyson anapigwa na mtoto wa darasa la 2 hadi analiaAaah nimeghairi huyo RRONDO sijui anakujua mziki wako kaniogopesha balaa[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mkuu nimesalimu amri[emoji119][emoji119]
Heshima ako mtakatifu mwanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukinishinda, chagua hotel yoyote ukapumzike na mpenzi wako. Siku mbili madereva tutalipa ππKama napata reward vile.....sitaki tena
Ujinga tu huu[emoji16][emoji16]
Apate ubatizo wa moto πππUsiogope njoo upate ubatizo mtakatifu πππ pale ambapo Tyson anapigwa na mtoto wa darasa la 2 hadi analia
Hahahah nakubali mzee mwenzangu, angusha kitu roho inataka π π π Jux kashusha moja changanyikeni hapo imeletwa na Crane juzi kati! Sick white Benzo!Hii naonga mzee baba, makakti wangu unajua mzee kuvuta chuma matata sana E350 AMG mwakani Audi A7 Sportback au BMW M series hasa M5.. Hiyo mwakani lakini but kwa mwaka huu E350 AMG lazima iingie magetoni mitaa ya chalinze pale kati kati ππ
Mie nitaletewa kijiweni tu na mie naiweka pembeni ya wana pale πππππHahahah nakubali mzee mwenzangu, angusha kitu roho inataka π π π Jux kashusha moja changanyikeni hapo imeletwa na Crane juzi kati! Sick white Benzo!