JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hii ni picha, but reality Murano ina muonekano mzr
Check apo comparison utaiona kwa muonekano
Atakuambia Murano ni ya kike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni picha, but reality Murano ina muonekano mzr
Check apo comparison utaiona kwa muonekano
Watu wanafanya sana madhambi, si unajua mshara wa dhambi ni mauti 😀😀😀😀Ndio maanaake maana watu ni wanadanja kama mchezo tu...si vijana si watoto
Yaan Israel mtoa roho anapunguza population kilazima utake usitake[emoji848]
Sasa je..we unafikiri wote hapa tunasubiri nini?? Kudanja tu mmoja baada ya mwingine maninnnr[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Robertson haya mkuu zitwange maisha ndio haya haya, kula maisha na kipupwe
😀😀😀😀 ndioa mambo za vijana, wanchezeana huku gari inaenda.. wanazidiwa na hisia, kitu kimoHaaahaa haaahaa...kifo cha kuzini tena ndani ya gari[emoji16][emoji16][emoji16]
Straight motoni
😀😀😀😀😀 unanichekesha kweli.. ngoja nisogeee zangu mlimani city kupiga kahawa yangu sasa.. maana maisha ndio haya haya jipe rahaSasa je..we unafikiri wote hapa tunasubiri nini?? Kudanja tu mmoja baada ya mwingine maninnnr
Sir God noma[emoji119][emoji119]
😀😀😀 mkuu hapo ni wewe ndio umesema in direct.. usitwike wengine mizigoAtakuambia Murano ni ya kike.
Mpaka aniambie kama akiendesha Murano, Harrier au rav 4 itabidi aandaliwe taulo za kike.
Msema kweri mpenzi wa Mungu[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unanichekesha kweli.. ngoja nisogeee zangu mlimani city kupiga kahawa yangu sasa.. maana maisha ndio haya haya jipe raha
Mkuu tumetoka na Mwamba Extrovert mbali kidogo, kuna uzi alisema Murano, Harrier sijui rav 4 gari za wamama.😀😀😀 mkuu hapo ni wewe ndio umesema in direct.. usitwike wengine mizigo
HahahaAnanilisha maneno huyo ili anichafue kisiasa 😅😅😅
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka aniambie kama akiendesha Murano, Harrier au rav 4 itabidi aandaliwe taulo za kike.
Amekana kama Petro alivyokana.[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Na atueleze iweje uendeshe rav4 ghafla uwe mwanamke
Extrovert
Asee ulisema hata mi shahidi...[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Apuuzwe huyu ananilisha maneno mi sijasema[emoji28][emoji28][emoji28]
Ili ligi umekimbi, ungenishinda ningelipia hotel moja tamu ya five au four star ukale maraha na mwamba wako huku mkisherekea ushindi wa kunichapa 😀😀Msema kweri mpenzi wa Mungu[emoji16]
Kula vitu, roho isinung'unike maana hiyo ndo wewe hata ukifa mwili
Hahaha samahani mkuu.Tutake radhi