emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 131
Spare*Ni gari nzuri sana ila changamoto zake ni hizi hapa:
1.Spear ni ghali sana na zinapatikana angalao kwa jasho kidogo.
2.Mafundi ni wa kubahatisha na wengi ni wababaishaji.
3.Haitaki ubabaishaji,lazima ufanye service sahihi ontime
4.Huwa inapenda kupendwa,kuchombezwa na kupetiwapetiwa pia kama zilivyo gari nyingine za kizungu
SpeaSpare*
Ila European car kwa hapa bongo changamoto sana ...mini cooper inanitoaa jasho na spea kudadeekNi gari nzuri sana ila changamoto zake ni hizi hapa:
1.Spea ni ghali sana na zinapatikana angalao kwa jasho kidogo.
2.Mafundi ni wa kubahatisha na wengi ni wababaishaji.
3.Haitaki ubabaishaji,lazima ufanye service sahihi ontime
4.Huwa inapenda kupendwa,kuchombezwa na kupetiwapetiwa pia kama zilivyo gari nyingine za kizungu
Spare ni gali peke yake au pia hazipatikani?Ila European car kwa hapa bongo changamoto sana ...mini cooper inanitoaa jasho na spea kudadeek
Mafuta inakula sana au kawaida?Ni gari nzuri sana ila changamoto zake ni hizi hapa:
1.Spea ni ghali sana na zinapatikana angalao kwa jasho kidogo.
2.Mafundi ni wa kubahatisha na wengi ni wababaishaji.
3.Haitaki ubabaishaji,lazima ufanye service sahihi ontime
4.Huwa inapenda kupendwa,kuchombezwa na kupetiwapetiwa pia kama zilivyo gari nyingine za kizungu
Vyote viwili kupatikana changamoto, brake pad nimetumia almost week kuzipata but ukizoeaa hizi gar mjapan unamuona kama uchafu ndo tatzoSpare ni gali peke yake au pia hazipatikani?
Kawaida inategemeaa na cc
Engine mount niliagiza nje ,Spare ni gali peke yake au pia hazipatikani?
What's so special na hizi gari?? Nini kinazifanya ziwe za kipekee?Vyote viwili kupatikana changamoto, brake pad nimetumia almost week kuzipata but ukizoeaa hizi gar mjapan unamuona kama uchafu ndo tatzo
Inshort ni nzuri ,comfortability ...ukiendeshaa kweli unaendesha gariWhat's so special na hizi gari?? Nini kinazifanya ziwe za kipekee?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Duh!!Engine mount niliagiza nje ,
Ila nimeipatiaa ufumbuz ...nimenunua ya kukata jamaa alikuwa anatoa mzigo wake nje so mwendo wa kufungua na kupachikaDuh!!