Volkwagen Golf 2001-2004

Volkwagen Golf 2001-2004

emmadeclassic

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
304
Reaction score
131
Anaefahamu vizuri haya magari anipe fununu je yanafaa kununua? Oil consumption yake vipi?masafa marefu inatoboa? Speed yake ikoje? Na je spea ni rahisi kupata?

Volkswagen-VW-logo-badge-letters.jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ni gari nzuri sana ila changamoto zake ni hizi hapa:

1.Spea ni ghali sana na zinapatikana angalao kwa jasho kidogo.

2.Mafundi ni wa kubahatisha na wengi ni wababaishaji.

3.Haitaki ubabaishaji,lazima ufanye service sahihi ontime

4.Huwa inapenda kupendwa,kuchombezwa na kupetiwapetiwa pia kama zilivyo gari nyingine za kizungu
 
1.Spear ni ghali sana na zinapatikana angalao kwa jasho kidogo.

2.Mafundi ni wa kubahatisha na wengi ni wababaishaji.

3.Haitaki ubabaishaji,lazima ufanye service sahihi ontime

4.Huwa inapenda kupendwa,kuchombezwa na kupetiwapetiwa pia kama zilivyo gari nyingine za kizungu
Spare*
 
Ni gari nzuri sana ila changamoto zake ni hizi hapa:

1.Spea ni ghali sana na zinapatikana angalao kwa jasho kidogo.

2.Mafundi ni wa kubahatisha na wengi ni wababaishaji.

3.Haitaki ubabaishaji,lazima ufanye service sahihi ontime

4.Huwa inapenda kupendwa,kuchombezwa na kupetiwapetiwa pia kama zilivyo gari nyingine za kizungu
Ila European car kwa hapa bongo changamoto sana ...mini cooper inanitoaa jasho na spea kudadeek
 
Ni gari nzuri sana ila changamoto zake ni hizi hapa:

1.Spea ni ghali sana na zinapatikana angalao kwa jasho kidogo.

2.Mafundi ni wa kubahatisha na wengi ni wababaishaji.

3.Haitaki ubabaishaji,lazima ufanye service sahihi ontime

4.Huwa inapenda kupendwa,kuchombezwa na kupetiwapetiwa pia kama zilivyo gari nyingine za kizungu
Mafuta inakula sana au kawaida?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Spare ni gali peke yake au pia hazipatikani?
Vyote viwili kupatikana changamoto, brake pad nimetumia almost week kuzipata but ukizoeaa hizi gar mjapan unamuona kama uchafu ndo tatzo
 
Hii mi VW jina kubwa ila mibaya kimuonekano
 
Back
Top Bottom