Voltz vs Allion

Voltz vs Allion

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,530
Reaction score
6,942
Wakuu wataalam wa magari naombeni ushauri ninue gari ipi kati ya hiz tajwa hapo juu
 

Attachments

  • Toyota_Allion_T260.jpg
    Toyota_Allion_T260.jpg
    258 KB · Views: 213
  • Voltz.jpg
    Voltz.jpg
    11.3 KB · Views: 214
zote zina bei sawa na engine sawa i.e cc 1800, ila Allion ina muonekano mzuri zaidi ya voltz na isitoshe zipo nyingi Tz na kwa hiyo spears siyo tatizo. Nafikiri Allion ni chaguo sahihi.
 
mkuu nduu/mamaya matumizi sana sana ya ruti za kawaida na saafari ndefu pia

hapo nadhani linakuja suala la taste zaidi....kama ni mpenzi wa mini SUVs then go for Voltz japokuwa kama alivosema mdau apo juu bado hazijawa nyingi kwa Tanzania ukilinganisha na Allion. But kama ni mtu wa safari safari na unapita bara bara sio nzuri sana basi hiyo Voltz ingefaa zaidi cause ipo juu kuliko Allion ambayo ni SEDAN.
 
Hata kwa barabara za kiburugwa volts ni zaidi

hapo nadhani linakuja suala la taste zaidi....kama ni mpenzi wa mini SUVs then go for Voltz japokuwa kama alivosema mdau apo juu bado hazijawa nyingi kwa Tanzania ukilinganisha na Allion. But kama ni mtu wa safari safari na unapita bara bara sio nzuri sana basi hiyo Voltz ingefaa zaidi cause ipo juu kuliko Allion ambayo ni SEDAN.
 
Voltz iko makini zaidi kuliko Allion ingawa engine capacity ni sawa.
I feel muonekano wa Voltz umetulia zaidi
 
Wakuu wataalam wa magari naombeni ushauri ninue gari ipi kati ya hiz tajwa hapo juu

Mkuu ni bora uchukue Allion, hiyo Voltz ni gari nzuri kimuonekano tu lakini kusema kweli si imara na spare parts zake HAZIPO! Hii ilishindwa kuuzika sokoni wakaamua kuacha kuitengeneza. Sijawahi kuona Voltz ya chini ya 2002 wala zaidi ya 2004, zilitengenezwa chache tu na baada ya mapokeo mabaya ya wateja wakaachana nazo kabisaa! Kama unapenda small size suv nakushauri utafute gari nyingine, otherwise nunua hiyo Allion.
 
voltz ni product ya ford waliuza kwa toyota ili wawasaidie kuisukima sokoni. zilitengenezwa gari 10,000 tu then wakasitisha na ndio zilizopo sokoni.
 
Back
Top Bottom