Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,530
- 6,942
unacompare SUV na Sedan? tupe matumizi yako kwanza kwa hizi gari ndo tukushauri vyema
mkuu nduu/mamaya matumizi sana sana ya ruti za kawaida na saafari ndefu pia
hapo nadhani linakuja suala la taste zaidi....kama ni mpenzi wa mini SUVs then go for Voltz japokuwa kama alivosema mdau apo juu bado hazijawa nyingi kwa Tanzania ukilinganisha na Allion. But kama ni mtu wa safari safari na unapita bara bara sio nzuri sana basi hiyo Voltz ingefaa zaidi cause ipo juu kuliko Allion ambayo ni SEDAN.
mkuu nduu/mamaya matumizi sana sana ya ruti za kawaida na saafari ndefu pia
Wakuu wataalam wa magari naombeni ushauri ninue gari ipi kati ya hiz tajwa hapo juu