Volunteers wanahitajika

Volunteers wanahitajika

TRUE ROAD

New Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Kampuni ya TRUE ROAD TECHNOLOGIES LIMITED- Inayojihusisha na Career and Personal development inaandaa mtandao wa wanafunzi vyuoni ambao wanahitajika kushirikiana na kampuni katika kuwajengea uwezo wanafunzi vyuoni ktk career & personal development.

Wanahitajika wanafunzi wa kujitolea kufanya kazi pamoja na shirika hili, japo kutakuwa na malipo kidogo kwa commission kwa jinsi ambavyo kila mlengwa atashiriki.

Kujiandikisha tuma maombi yako kwenda, [email protected] AU ujumbe kwenda 0656 487215, ukitaja jina lako, chuo unachosoma, na course unayosoma.-Vyuo vinavyolengwa hapa ni vyuo vyote kama vile, vyuo vikuu, vyuo vikuu vishiriki, vyuo vya VETA nk....

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7 February, 2013.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kampuni pitia Welcome to True Road Technologies | True Road Technologies


Wenu,
Christopher Andendekisye,
Mkurugenzi Mtendaji
 
Back
Top Bottom