Volvo FH series

Stralis

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
618
Reaction score
613


Hii model FH zina 610 horsepower kwa bongo ziko mbili tu kwa azam na ndo gar zenye horsepower kubwa bongo nzima.
 
Ulivyosema sio bongo tu mkuu
Volvo katika series zao za FH wana hio yenye horse power 750 ambayo paka dakika hii naandika hapa rekodi yake haijavunjwa popote duniani ndio truck yenye nguvu duniani.
 
Mkongwe katika muziki wa Hip Hop Bongo, Inspector ‘Babu’ Haroon, amesema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia kukamilisha ujenzi wa nyumba zake mbili jijini Dar es salaam.
Akizungumza kupitia Segment ya ‘Nje Ndani’ inayoruka kupitia Times Fm, Hit maker huyo wa ‘Asali ya moyo’ alidai watu wengi hawajui kama yeye amevuna pesa kadhaa za kumtosha kiasi tangu aanze muziki.
“Mpaka sasa hivi kuna sehemu kama mbili zimeshakamilika kabisa, nyumba mbili, ya kwanza ipo Kongowe na nyingine ukivuka kivule panaitwa Ngondole” Alifunguka.
Katika hatua nyingine msanii huyo alidai hababaishwi na baadhi ya wasanii wenzake wa Hip Hop wanaomuimba vibaya kwenye Lines zao, kwa sababu wanamtumia kama daraja la kuyafikia mafanikio.
 
nashindwa kuwaelewa mnasema dunia nzima wakati scania wana 124 horse power 800 na haya ni model ya 2011 na 2012 hii 2016 mnazungumzia gari yenye 650hp kuwa ndio kubwa kuriko zote duniani dunia ya wapi hiyo watu sasa wanatengeneza engine za 1000hp mpaka 2000hp..
 

Fanya tafiti zako kwa kina, scania wana r730 v8 engine ya mwaka 2014 ndio yenye horse power kubwa kwenye series zao za R. Sijawah kuona wala kusikia 124 yenye 800hp ni story mpya kwangu, tunaongelea Volvo FH 750 hakuna horse power kubwa zaidi ya hapo hadi sasa.
 
mkuu volvo ina nguvu kuriko scania ila izo nazozungumzia Scania johannesburg wanazo sijasimuliwa nimeziona na izo volvo huko ndio nyumbani kwake...tukijaaliwa wiki mbili zijazo ntakua borgsburg ntakutumia picha mkuu..
 
mkuu volvo ina nguvu kuriko scania ila izo nazozungumzia Scania johannesburg wanazo sijasimuliwa nimeziona na izo volvo huko ndio nyumbani kwake...tukijaaliwa wiki mbili zijazo ntakua borgsburg ntakutumia picha mkuu..

Kabla ujaenda jozii,ningependa kuona hizo 124 800hp kwa picha hata za kwenye google.
 
ni pm namba yako nikutumie picha humu zinasumbua mkuu nakutumia sasa ivi
 
Na malori bora na imara ukiondoa za kimarekani ni Mercedes benz Axor..Man diesel ndio wanafatana hao Scania na Volvo...Man diesel ndio Truck inayoweza kusafiri na mzigo kwa umbali mrefu bila kuchemsha hauzimi truck mnabadili dereva tuu...
 
Hee! Wewe nawe umepotea njia au ni mahaba na inspecta?
 

Dah hyo 124 ahaha 800HP yan kwa cc 12,000 izalishe HP 800 dah hii noma sana mpya labda uniambia ile 164L kizazi cha 4 ilizalisha 450Hp lakin ikawa sio efficiency engine cc kubwa hP ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…