Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio bongo tu ni dunia nzima.View attachment 334081
Hii model FH zina 610 horsepower kwa bongo ziko mbili tu kwa azam na ndo gar zenye horsepower kubwa bongo nzima.
Duuuuuuuuuh hii kaliSio bongo tu ni dunia nzima.
Kwa nini mkuu? Ngumu kumeza au?Duuuuuuuuuh hii kali
Ulivyosema sio bongo tu mkuuKwa nini mkuu? Ngumu kumeza au?
Volvo katika series zao za FH wana hio yenye horse power 750 ambayo paka dakika hii naandika hapa rekodi yake haijavunjwa popote duniani ndio truck yenye nguvu duniani.Ulivyosema sio bongo tu mkuu
nashindwa kuwaelewa mnasema dunia nzima wakati scania wana 124 horse power 800 na haya ni model ya 2011 na 2012 hii 2016 mnazungumzia gari yenye 650hp kuwa ndio kubwa kuriko zote duniani dunia ya wapi hiyo watu sasa wanatengeneza engine za 1000hp mpaka 2000hp..
mkuu volvo ina nguvu kuriko scania ila izo nazozungumzia Scania johannesburg wanazo sijasimuliwa nimeziona na izo volvo huko ndio nyumbani kwake...tukijaaliwa wiki mbili zijazo ntakua borgsburg ntakutumia picha mkuu..Fanya tafiti zako kwa kina, scania wana r730 v8 engine ya mwaka 2014 ndio yenye horse power kubwa kwenye series zao za R. Sijawah kuona wala kusikia 124 yenye 800hp ni story mpya kwangu, tunaongelea Volvo FH 750 hakuna horse power kubwa zaidi ya hapo hadi sasa.
mkuu volvo ina nguvu kuriko scania ila izo nazozungumzia Scania johannesburg wanazo sijasimuliwa nimeziona na izo volvo huko ndio nyumbani kwake...tukijaaliwa wiki mbili zijazo ntakua borgsburg ntakutumia picha mkuu..
Hee! Wewe nawe umepotea njia au ni mahaba na inspecta?Mkongwe katika muziki wa Hip Hop Bongo, Inspector ‘Babu’ Haroon, amesema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia kukamilisha ujenzi wa nyumba zake mbili jijini Dar es salaam.
Akizungumza kupitia Segment ya ‘Nje Ndani’ inayoruka kupitia Times Fm, Hit maker huyo wa ‘Asali ya moyo’ alidai watu wengi hawajui kama yeye amevuna pesa kadhaa za kumtosha kiasi tangu aanze muziki.
“Mpaka sasa hivi kuna sehemu kama mbili zimeshakamilika kabisa, nyumba mbili, ya kwanza ipo Kongowe na nyingine ukivuka kivule panaitwa Ngondole” Alifunguka.
Katika hatua nyingine msanii huyo alidai hababaishwi na baadhi ya wasanii wenzake wa Hip Hop wanaomuimba vibaya kwenye Lines zao, kwa sababu wanamtumia kama daraja la kuyafikia mafanikio.
Acha uongoDuuuuuuuuuh hii kali
Fanya tafiti zako kwa kina, scania wana r730 v8 engine ya mwaka 2014 ndio yenye horse power kubwa kwenye series zao za R. Sijawah kuona wala kusikia 124 yenye 800hp ni story mpya kwangu, tunaongelea Volvo FH 750 hakuna horse power kubwa zaidi ya hapo hadi sasa.