Volvo FH series

Dah hyo 124 ahaha 800HP yan kwa cc 12,000 izalishe HP 800 dah hii noma sana mpya labda uniambia ile 164L kizazi cha 4 ilizalisha 450Hp lakin ikawa sio efficiency engine cc kubwa hP ndogo.

Af volvo ndo mpaka leo truck iko na Hp kubwa ya 750 fh series kwa sauz nimeziona volvo za 610Hp kibao tz anazo azam 610Hp fh series na ndo anazo peke ake hzo zenye 610HP kama 2 au 3 hivi
 
Na malori bora na imara ukiondoa za kimarekani ni Mercedes benz Axor..Man diesel ndio wanafatana hao Scania na Volvo...Man diesel ndio Truck inayoweza kusafiri na mzigo kwa umbali mrefu bila kuchemsha hauzimi truck mnabadili dereva tuu...

Bro ni axor au Actros aisee me ninavojua ni actros ndo kali sana axor walitoa model n kama kwa scania kua na P series ila actros nafananisha na R series au kwa volvo axor n kama FMx
 
Bro ni axor au Actros aisee me ninavojua ni actros ndo kali sana axor walitoa model n kama kwa scania kua na P series ila actros nafananisha na R series au kwa volvo axor n kama FMx
yaa ni Actros iyo truck hakuna ya kufananisha...wasomali mozambique wanatumia sana izo wao hawahangaiki na Scania hata umwambie nini...volvo ipo poa sema naona mafundi hawayajui haya bongo...
 
stralis ivi izo stralis zina uimara mbona South zipo bei chini sana mpaka naogopa maana sijui chochote kuhusu izo na zipo za kumwaga bei ndogo na zinaonekana vizuri sana em kama unazijua vizuri nipe nondo
 
Stralis ni gar ya kazi lakin kwa bongo naona bado wajazipatia sana hasa kutokana na kutumia vitu ming Umeme hata gearbox ake umeme sasa kwa bongo zinawazingua kwa south africa n wanazi sana wa volvo na scania ingawa wana gari zote sasa stralis muitaliano wanaona kama bado ajawakaa sana ila pata Stralis 6x4 ni ziko vizur sana hzo gari.
Na iveco stralis hiz zilitengenezwa ujeruman magirius na ndo gari ya cargo ya kwanza kua automatic.
 
AL MADINA COMPUTERS
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat, Excavator.,Roller,MAN,HINO,VOLVO ,IVECO, JAC, KIA,JIANG FENG,BULLDOZER,AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30
2.Magari size ya kati- $50
3.Magari aina ya Fuso- $70
4.Lories-$100
5.Excavator-$200
6.other Heavy Equipment-$300-$400

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
 
View attachment 334081

Hii model FH zina 610 horsepower kwa bongo ziko mbili tu kwa azam na ndo gar zenye horsepower kubwa bongo nzima.
AL MADINA COMPUTERS
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat, Excavator.,Roller,MAN,HINO,VOLVO ,IVECO, JAC, KIA,JIANG FENG,BULLDOZER,AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30
2.Magari size ya kati- $50
3.Magari aina ya Fuso- $70
4.Lories-$100
5.Excavator-$200
6.other Heavy Equipment-$300-$400

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
 
wewe unajenga wapi?
 
hp is what sell most car but torque let you do the work , wote mnaongea kuhusu hp bt am sure wengi wao hawajui how hp is calculated
 
hp is what sell most car but torque let you do the work , wote mnaongea kuhusu hp bt am sure wengi wao hawajui how hp is calculated

Haya sasa unataka kusemaje joh....
 
Volvo achana nayo mkuu, ile power yake ni kubwa kuliko trucks zote.
 
hp is what sell most car but torque let you do the work , wote mnaongea kuhusu hp bt am sure wengi wao hawajui how hp is calculated

Au unataka kusema Hiki kitu kua

Horsepower=(Torque x RPM)/5252

Haya hapo vp
 
Au unataka kusema Hiki kitu kua

Horsepower=(Torque x RPM)/5252

Haya hapo vp
hcho hcho kwa mfano tukiwa na twisting force sawa wote tuna six cylinder alafu we uka calculate hp at 2200rpm na mm @ 1900rpm huon ka tutakuwa na tofaut ya hp 50 hvy gar lako kuonekana lina nguv wakat tuko sawa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…