Stralis
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 618
- 613
- Thread starter
- #21
nashindwa kuwaelewa mnasema dunia nzima wakati scania wana 124 horse power 800 na haya ni model ya 2011 na 2012 hii 2016 mnazungumzia gari yenye 650hp kuwa ndio kubwa kuriko zote duniani dunia ya wapi hiyo watu sasa wanatengeneza engine za 1000hp mpaka 2000hp..
Dah hyo 124 ahaha 800HP yan kwa cc 12,000 izalishe HP 800 dah hii noma sana mpya labda uniambia ile 164L kizazi cha 4 ilizalisha 450Hp lakin ikawa sio efficiency engine cc kubwa hP ndogo.
Af volvo ndo mpaka leo truck iko na Hp kubwa ya 750 fh series kwa sauz nimeziona volvo za 610Hp kibao tz anazo azam 610Hp fh series na ndo anazo peke ake hzo zenye 610HP kama 2 au 3 hivi