Habari wadau
Tafadhari naomba uzoefu kwa mtu amewahi kumiliki ama yupo familiar na Volvo V40 (hasa ya 2012-2019). Ningependa kujua juu ya reliability, common issues, fuel consumption na availability ya mafundi na spares kwa hapa TZ. Nmekuwa napita pita mtandaoni naona ni gari yenye features nzuri sana na affordable naamini kutakuwa na mtu mwenye mawili matatu nayo.
So far details nilizonazo najua ina options mbili, diesel na petrol na zinaanzia cc1600 mpaka zaidi ya 2000. Ningependa mtu ataeshare experience aseme yeye ana uzoefu na yenye options zipi na mwaka gani. Natanguliza shukrani.