Vomiting and Diarrhea

Vomiting and Diarrhea

Stoudemire

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
839
Reaction score
207
Habari,

Jamani nina hii tatizo mwenzenu siku ya 3 leo.

Ilianza kutapika juzi asubuhi ikafuatiwa na Diarhea.

Kutapika ilishaacha ila Diarrhea inaendelea.

Hivi mtu unaweza kuwa na Diarrhea kwa siku 3 mfulululizo? haijawahi kunitokea.

Nilipoenda hospital walipima typhoid hamna, Malaria hamna , mkojo upo poa. Natumia dawa NORZOLE siku ya pili hii dawa ya siku 5. Nilitegemea hii itakuwa dawa ya kufunga kuendesha.

Sasa nifanyeje wajameni nistopishe dawa ama ?
 
Duh pole, labda homa za vipindi...kutapika siku 3? Too much, huenda una very serious unseen disease!!
 
Kutapika ilikata same day sema kuhara ndio imeendelea.

Kipindu pindu hakina dalili hizi?
 
Hapo ni kula mikate kwakwenda mbele.

Mi nijuavyo flagily ndo dawa ya kuendesha unless wewe uko advanced kiasi chakwamba flagily haikutibu.
 
Kama wamefanya vipimo hivyo vyote na hakuna ugonjwa uliogunduliwa basi huenda ni virus tu wanakusumbua, tumia ORS na pia Loperamide tabs na uendelee na hiyo norzole
 
Habari,

Jamani nina hii tatizo mwenzenu siku ya 3 leo.

Ilianza kutapika juzi asubuhi ikafuatiwa na Diarhea.

Kutapika ilishaacha ila Diarrhea inaendelea.

Hivi mtu unaweza kuwa na Diarrhea kwa siku 3 mfulululizo? haijawahi kunitokea.

Nilipoenda hospital walipima typhoid hamna, Malaria hamna , mkojo upo poa. Natumia dawa NORZOLE siku ya pili hii dawa ya siku 5. Nilitegemea hii itakuwa dawa ya kufunga kuendesha.

Sasa nifanyeje wajameni nistopishe dawa ama ?

sometymz huwa sio lazima kuna ugonjwa but mchafuko wa tumbo tu.usipendelee sana dawa za kufunga ku pararataaataaaa,ni bora uendelee kupararataaaa ili uchafu huo utoke kwa mwili
 
Kama wamefanya vipimo hivyo vyote na hakuna ugonjwa uliogunduliwa basi huenda ni virus tu wanakusumbua, tumia ORS na pia Loperamide tabs na uendelee na hiyo norzole

Hizo Loperamide nazipata over the counter au hadi Doctor aandike mkuu?
 
sometymz huwa sio lazima kuna ugonjwa but mchafuko wa tumbo tu.usipendelee sana dawa za kufunga ku pararataaataaaa,ni bora uendelee kupararataaaa ili uchafu huo utoke kwa mwili

Mkuu they way ninavyo endesha ingekuwa sina appetite na sijilazimishi maji ya kunywa ningekua nimesha tepeta.
 
Habari wakuu,

Naomba msinichoke.

Kuna mdau ameshauri Loperamide hiyo dawa nishanunua jana sema sijaanza maana jana kimetokea kitu kingine sio cha kawaida.

Mida ya usiku mdomo ulikuwa mchungu balaa nikajilazimisha kula kinguvu kila tonge likidondoka mdomoni utafikiri zimezungukwa na kloroquine. Imagine unakula wali na samaki lakini uchungu tupu.

Hali hiyo iliisha baada ya kwenda tena kupata choo kwa style ile ile ya ku "drive" , sasa wajameni nifanyeje? na huu uchungu wa mdomo unakuja na kuondoka.
 
Back
Top Bottom