Stoudemire
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 839
- 207
Duh pole, labda homa za vipindi...kutapika siku 3? Too much, huenda una very serious unseen disease!!
Habari,
Jamani nina hii tatizo mwenzenu siku ya 3 leo.
Ilianza kutapika juzi asubuhi ikafuatiwa na Diarhea.
Kutapika ilishaacha ila Diarrhea inaendelea.
Hivi mtu unaweza kuwa na Diarrhea kwa siku 3 mfulululizo? haijawahi kunitokea.
Nilipoenda hospital walipima typhoid hamna, Malaria hamna , mkojo upo poa. Natumia dawa NORZOLE siku ya pili hii dawa ya siku 5. Nilitegemea hii itakuwa dawa ya kufunga kuendesha.
Sasa nifanyeje wajameni nistopishe dawa ama ?
Kama wamefanya vipimo hivyo vyote na hakuna ugonjwa uliogunduliwa basi huenda ni virus tu wanakusumbua, tumia ORS na pia Loperamide tabs na uendelee na hiyo norzole
sometymz huwa sio lazima kuna ugonjwa but mchafuko wa tumbo tu.usipendelee sana dawa za kufunga ku pararataaataaaa,ni bora uendelee kupararataaaa ili uchafu huo utoke kwa mwili