Vote code na sub vote kwenye salary slip ni nini, naipata wapi?

Ukishindwa kabisa muulize workmate wako wa muda mrefu hapo kazini akupatie hizo code na ikiahindikana kabisa muombe HR wako
Atakuwa mtumishi wa ajabu sana..yaani haujui check namba yako, haujui vote codes na haijawahi kupata salary slip!?? Sio kweli aseee....kama ni kweli yeye ndio "changamoto"....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…