Una muda gani kazini Kiongozi!?? Salary slip zzimeanza kutoka kwenye mfumo kama 2017/18 hivi .... Nyuma ya hapo ilikuwa payrolls zikija zinakuja salary slips .... Na kianzia hiyo 2017/18 zilikuwa zinatoka tu fresh Salary slip portal.... Sasa Kwa kweli nashindwa kuelewa unapokosea ni wapi mpaka ESS ikugomeee Salary slip portal pia ikugomee.... Taarifa zako za kazi unaziripoti vipi hii miaka miwili tangu tuanze kutumia ESS!?? Unaripoti vipi taarifa zako za kazi!? Au mitumishi mpya kabisa wale wa mpaka mshahara ukitoka ndio mripoti kituo Cha kazi !?? ...idara yako Haina TANGE YA WATUMISH!?? Kwa HR wako ni mbali sana!?? Hakuna mawasiliano na ofisi ya utumishi!?? .... Siku utapokea barua ya kufutwa ama kusimamishwa kazi au kutopokea mshahara utakuja Tena huku kuuliza.
Nenda utumishi
1) Check namba
2)email active
3)Namba ya simu active.....
Samahani lakini...kama upo kazini muda mrefu na vitu hivi vya mifumo vidogo tu vinakusumbua itakuwaje Sasa huko mbeleni tukianza kutumia e-file na e-govt so utakuwa umejifuta Mwenyewe kazini!?? Maana baadhi ya ofisi na TAASISI hawabebi Tena mafaili .. ni unayakuta tu kwenye mfumo si utakwamisha kazi za watu !?? Ess tunaripoti kila wiki ...vipi mwenzetu hauripoti!??