Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
-
- #21
hii chek no hamna wakukosaAtakuwa mtumishi wa ajabu sana..yaani haujui check namba yako, haujui vote codes na haijawahi kupata salary slip!?? Sio kweli aseee....kama ni kweli yeye ndio "changamoto"....
ohoooUkishindwa kabisa muulize workmate wako wa muda mrefu hapo kazini akupatie hizo code na ikiahindikana kabisa muombe HR wako
Idara yake yote hawana Salary slip!?? Si code anazipata tu.... PEPMIS hajazi!??.... Si salary slip zipo mule ess!??hii chek no hamna wakukosa
nimeshindwa kujisajili essIdara yake yote hawana Salary slip!?? Si code anazipata tu.... PEPMIS hajazi!??.... Si salary slip zipo mule ess!??
Una muda gani kazini Kiongozi!?? Salary slip zzimeanza kutoka kwenye mfumo kama 2017/18 hivi .... Nyuma ya hapo ilikuwa payrolls zikija zinakuja salary slips .... Na kianzia hiyo 2017/18 zilikuwa zinatoka tu fresh Salary slip portal.... Sasa Kwa kweli nashindwa kuelewa unapokosea ni wapi mpaka ESS ikugomeee Salary slip portal pia ikugomee.... Taarifa zako za kazi unaziripoti vipi hii miaka miwili tangu tuanze kutumia ESS!?? Unaripoti vipi taarifa zako za kazi!? Au mitumishi mpya kabisa wale wa mpaka mshahara ukitoka ndio mripoti kituo Cha kazi !?? ...idara yako Haina TANGE YA WATUMISH!?? Kwa HR wako ni mbali sana!?? Hakuna mawasiliano na ofisi ya utumishi!?? .... Siku utapokea barua ya kufutwa ama kusimamishwa kazi au kutopokea mshahara utakuja Tena huku kuuliza.nimeshindwa kujisajili ess
Nenda kwa mkuu wako wa idara atakupatia ulishindwa kabisa nambiesasa hizo zinahitajika unavo ingiza salary slip
sasa napataje na wakat hata salary slip sijawai pata
Network issuenimeshindwa kujisajili ess
Nenda kwa Afisa Utumishi wako atakupatia Kama bado hujapata mshaharasasa hizo zinahitajika unavo ingiza salary slip
sasa napataje na wakat hata salary slip sijawai pata
nishapataNenda kwa Afisa Utumishi wako atakupatia Kama bado hujapata mshahara
kwann huruhusu watu waku PMNenda kwa Afisa Utumishi wako atakupatia Kama bado hujapata mshahara
nimeshimdwaNenda kwa mkuu wako wa idara atakupatia ulishindwa kabisa nambie
Kuna Sababu Maalumu kufanya Hivyo..kwann huruhusu watu waku PM
niPm mkuuKuna Sababu Maalumu kufanya Hivyo..
Ni ya Muhimu sana kama unataka nitakuPM nitafnya Hivyo
NimekuPMniPm mkuu
sawa kiongozNimekuPM
Kiongozi una elimisha ila UMENISEMA SANA DAAH had imebidi nikalale nipunguze maumivuUna muda gani kazini Kiongozi!?? Salary slip zzimeanza kutoka kwenye mfumo kama 2017/18 hivi .... Nyuma ya hapo ilikuwa payrolls zikija zinakuja salary slips .... Na kianzia hiyo 2017/18 zilikuwa zinatoka tu fresh Salary slip portal.... Sasa Kwa kweli nashindwa kuelewa unapokosea ni wapi mpaka ESS ikugomeee Salary slip portal pia ikugomee.... Taarifa zako za kazi unaziripoti vipi hii miaka miwili tangu tuanze kutumia ESS!?? Unaripoti vipi taarifa zako za kazi!? Au mitumishi mpya kabisa wale wa mpaka mshahara ukitoka ndio mripoti kituo Cha kazi !?? ...idara yako Haina TANGE YA WATUMISH!?? Kwa HR wako ni mbali sana!?? Hakuna mawasiliano na ofisi ya utumishi!?? .... Siku utapokea barua ya kufutwa ama kusimamishwa kazi au kutopokea mshahara utakuja Tena huku kuuliza.
Nenda utumishi
1) Check namba
2)email active
3)Namba ya simu active.....
Samahani lakini...kama upo kazini muda mrefu na vitu hivi vya mifumo vidogo tu vinakusumbua itakuwaje Sasa huko mbeleni tukianza kutumia e-file na e-govt so utakuwa umejifuta Mwenyewe kazini!?? Maana baadhi ya ofisi na TAASISI hawabebi Tena mafaili .. ni unayakuta tu kwenye mfumo si utakwamisha kazi za watu !?? Ess tunaripoti kila wiki ...vipi mwenzetu hauripoti!??