syl_felix
Member
- Sep 21, 2016
- 61
- 52
Majungu hayajengi kiukweli...ukiacha tu ushabiki mi nmefuatilia interview nyingi za kwenye media anazofanya diamond na alikiba, mara nyingi kiba akihojiwa anaonyesha chuki za wazi kwa diamond na wakati huo huo diamond akihojiwa hajawah kumsema vibaya kiba wala kuonyesha chuki yoyote....kwa hali hii tu inatosha kujua nani ana Hekima na nani Mpumbavu.Chief ndio malalamiko ya timu ya kijana Ali kiba,
Eti Simba ananunua tu zo