VOTE FOR DIAMOND PLATINUMZ: MTVEMA Worldwide Act: Africa / India

VOTE FOR DIAMOND PLATINUMZ: MTVEMA Worldwide Act: Africa / India

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
MTV-3.jpg
MTV-4.jpg
mtv-7.jpg
mtv-6.jpg


KUPIGA KURA BONYEZA HAPA

KUPIGA KURA BONYEZA [URL="http://base.mtvema.com/vote#cat=worldwide-act-africa-india"]HAPA

[/URL]
 
Kupiga kura ingia link hii ⬇ inakupeleka category yake afu piga kura mara nyingi uwezavyo, unabonya neno vote pembeni ya picha ya diamond afu jibu unalopewa unakuwa unalikata (cancel) ili kuendelea kupiga kura, hata mara 20000 ili aibuke kinara best worldwide act kati ya washindi 6 duniani wataopatikana kwenye hiyo category (America, Europe, etc)

⬇
⬇

MTV EMA 2015 | 25.10.2015 | Milan | Vote
 
Akamwambie Makufuri ampigie

Hiyo ni kwa mashabiki w diamond tuliomuwezesha ushindi wa BEST AFRICAN ACT

Kushinda hiyo, hujatoa hata t**o lako, na sasa hivi hatulitaki kura zetu zinatosha!!!

Kwa kifupi tu, Afrika nzima ye ndio muwakilishi wetu hapooo, kura zetu Anazo
 
Akamwambie Makufuri ampigie

Usijali sana, tupo wengi na kura zetu zinatosha kumpa ushindi. Angalia leo kaja na tuzo tano, akiwa bado hata hajatia mguu bongo tuzo ya sita ikamkuta njiani. Kura zetu zinatosha sana, hii tuzo ya saba ni muhimu tuipate, na tutampigia. Hatuna porojo, hapa ni kazi tu, kazi ya kupiga kura na kuzileta tuzo nyumbani. Kwa taarifa yako tu, kwa hii 2015 ameshashinda tuzo nane za kimataifa.
 
Waandae bonge la shoo zari white party iwe cha mtoto ili tuzidi kumuwezesha na kupongezana mashabiki wake na mapicha mapicha kibao.
 
Tutampigia priyanka chopra

Hahahaha kwani DAVIDO hamkumpigia???

Tumemnyoosha Afrimma, tumemnyoosha MTV EMA

Sasahivi tumemaliza Afrika, tupo India arebaaaba lazima wanyooke afu Wakina Nick Minaj wajiandae mamaeeeeeee chezea Chibu Dangote!!!!!

Team diamond platnumz Foevaaaaa!!
 
Back
Top Bottom