Wakuu inabidi tu-vote bila kuchoka coz' am afraid tusivyojipanga vizuri ile series ambayo Priyanka ana-lead inaweza kumbeba sana kwa kujiongezea mashabiki.
Mkuu kama ni kura tunapiga saaana mi ndio game pekee ninalocheza kwenye simu yangu kubofya tu!!
Afu yule dada hatutishi licha ya kuwa na jina kubwa ni hasa kutokana na movie zake, na si kimuziki japo na huko amepiga hatua sana... Afu isitoshe hii ni mara yake ya kwanza hta kuwa nominated MTV EMA na ameshinda sawa tu na diamond japokuwa diamond hii ni mara ya pili kuwa nominated... Historia ipo sawa kote, India nao hawajawahi kushinda category ya WORLDWIDE ACT kama sisi tu, na mpaka hivi sasa nikijaribu kucheki trend hii kitu yetu!!!