Vote for hamisa mobetto

Vote for hamisa mobetto

Status
Not open for further replies.
Dhambi kupiga kura ili akafanye hayo mamodeling yaliyojaa maovu kujipitisha mbele ya wanaume kwa aina tofaut tofaut za nguo
 
Duh bongo kila siku wasanii wapya hata kuwajua inakuwa shida, haya huyu ana wimbo gani mzuri? Tuwekee ili tuone kama anastahili kupigiwa kura.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom