safetymaster
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 226
- 285
Shida nadhani twitter kwa sasa hapa kwetu inasumbua hadi VPN, pengine ndo maana kura chacheWanamsimbazi hili sijui hawalijui?,maana naona mchezaji wao anazidiwa kwa mbali,ingawa ndio wapili,wakwanza ana 76% so far yeye Akiwa 15%
Shida ni twita,lakini pia Simba hawajaweka hamasa kwenye hii. Pages za Simba na viongozi zilitakiwa kuhamasishaWanamsimbazi hili sijui hawalijui?,maana naona mchezaji wao anazidiwa kwa mbali,ingawa ndio wapili,wakwanza ana 76% so far yeye Akiwa 15%
Kweli kabisa,hivi vitu huwa Hawavioni,manara kutwa utopolo sijui nini?,vitu vya ajabu ajabu tu..Shida ni twita,lakini pia Simba hawajaweka hamasa kwenye hii. Pages za Simba na viongozi zilitakiwa kuhamasisha
Hii ni point,ukurasa rasmi wa klabu ulipaswa kufanya "promotion " katika hili kwani inakuza brand ya klabu, thamani kwa mchezaji na hata ushindani kwa wachezaji wao kwa wao..... Lakini nadhani msiba pia umechangia, tuomboleze kwanzaShida ni twita,lakini pia Simba hawajaweka hamasa kwenye hii. Pages za Simba na viongozi zilitakiwa kuhamasisha
ipo haja ya kuwapa somo,maana hata wanaoingia huko wengi wana comment badala ya kupiga kura. si unajua wabongo hatuna utulivuHii ni point,ukurasa rasmi wa klabu ulipaswa kufanya "promotion " katika hili kwani inakuza brand ya klabu, thamani kwa mchezaji na hata ushindani kwa wachezaji wao kwa wao..... Lakini nadhani msiba pia umechangia, tuomboleze kwanza
Simba wametoa link. Shida ni huku kwetu VPNShida ni twita,lakini pia Simba hawajaweka hamasa kwenye hii. Pages za Simba na viongozi zilitakiwa kuhamasisha
daah.Simba wametoa link. Shida ni huku kwetu VPN
Takwimu za ameisaidia vipi team ndio zinamuingiza kwenye group la ambao nao Wana takwimu nzuri, baada ya hapo kwakuwa kila mmoja amesaidia team yake kifatacho ni kupigiwa Kura maana na mashabikiKwani player of the week anapatikana kwa kuchaguliwa na mashabiki??? Au kuangalia takwimu za mchezaji katika mechi amesaidia vipi team?
nimepiga ila hatukutoboaWw pia umecommet na kura hujapiga