Vote for Louis Miquisson, Total CCL-WEEK 4

safetymaster

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
226
Reaction score
285
Sasa si ajabu tena kuona mchezaji kutoka klabu ya Tanzania anaingia katika kinyang'anyiro cha tuzo ya mchezaji bora Afrika. Piga kura yako kupitia link hapa chini ili kumpa nguvu kijana kutoka Lunyasi. Hii pia itakuwa ni changamoto kwa wachezaji wengine!

Screenshot_20210318-150445.jpg
 
Wanamsimbazi hili sijui hawalijui?,maana naona mchezaji wao anazidiwa kwa mbali,ingawa ndio wapili,wakwanza ana 76% so far yeye Akiwa 15%
 
Shida ni twita,lakini pia Simba hawajaweka hamasa kwenye hii. Pages za Simba na viongozi zilitakiwa kuhamasisha
 
Hii ni point,ukurasa rasmi wa klabu ulipaswa kufanya "promotion " katika hili kwani inakuza brand ya klabu, thamani kwa mchezaji na hata ushindani kwa wachezaji wao kwa wao..... Lakini nadhani msiba pia umechangia, tuomboleze kwanza
 
ipo haja ya kuwapa somo,maana hata wanaoingia huko wengi wana comment badala ya kupiga kura. si unajua wabongo hatuna utulivu
 
VPN ndio mchawi, Soka letu linashindwa kwenda mbele kwa mambo kama haya alafu kesho atatafutwa mchawi
 
Kwani player of the week anapatikana kwa kuchaguliwa na mashabiki??? Au kuangalia takwimu za mchezaji katika mechi amesaidia vipi team?
 
Takwimu za ameisaidia vipi team ndio zinamuingiza kwenye group la ambao nao Wana takwimu nzuri, baada ya hapo kwakuwa kila mmoja amesaidia team yake kifatacho ni kupigiwa Kura maana na mashabiki
 
Back
Top Bottom