1: Kwa nini hadi sasa siku 27 kabla ya uchaguzi hawaja-update ktk database idadi ya wapiga kura kwa mikoa yote? au ndio maadalizi ya uchakachuaji?
2: Kwa nini idadi ya wapiga kura znz ni 15,540 ktk kipindi cha 2007/2008; ina maana waliopiga kura za urais na wabunge 2005 walikuwa ndio idadi hiyo au ?