AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Wadau katika pitapita zangu ktk mtandao wa tume ya uchaguzi, nimkutana na kitu hiki hapa chini: -
http://www.nec.go.tz/?modules=registration⊂
MTAZAMO WANGU
1: Kwa nini hadi sasa siku 27 kabla ya uchaguzi hawaja-update ktk database idadi ya wapiga kura kwa mikoa yote? au ndio maadalizi ya uchakachuaji?
2: Kwa nini idadi ya wapiga kura znz ni 15,540 ktk kipindi cha 2007/2008; ina maana waliopiga kura za urais na wabunge 2005 walikuwa ndio idadi hiyo au ?
Mchango wenu ktk hili unakaribishwa.