Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu.
Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu.
Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi tujuavyo chama chake kilivyo na hiana wataona kumfukuza chamani wao ndio wasimmizi wa mafao yake.
ACHENI KUFIKIRI HIVYO, maana kwenye hili Nchimbi ameipiga bao CCM na yeye ni mshindi.