Naunga mkono hoja https://www.jamiiforums.com/posts/56726870/Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu.
Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu.
Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi tujuavyo chama chake kilivyo na hiana wataona kumfukuza chamani wao ndio wasimmizi wa mafao yake.
ACHENI KUFIKIRI HIVYO, maana kwenye hili Nchimbi ameipiga bao CCM na yeye ni mshindi.
Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu.
Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu.
Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi tujuavyo chama chake kilivyo na hiana wataona kumfukuza chamani wao ndio wasimmizi wa mafao yake.
ACHENI KUFIKIRI HIVYO, maana kwenye hili Nchimbi ameipiga bao CCM na yeye ni mshindi.
Naye alikuwa amekalia kiti kwa malipo ya udhalimu wa damu za watu wasio na hatiaNchimbi siyo/ hakuwa makamu wa Rais halali.
Kwani wanafuataga Katiba hawa CCM? Akijitutumua tu, wanamfutia mafao na hatafanya chochote.Kauli ya kusema βakifukuzwa CCM basi anapoteza mafao yake ya Makamu wa Raisβ haiwezi kusemwa bila kuonyesha kifungu cha sheria kinachosema hivyo.
Katiba ya CCM na sheria ya stahili za viongozi wa kitaifa ni nyaraka mbili tofauti.
Kauli ya kusema βakifukuzwa CCM basi anapoteza mafao yake ya Makamu wa Raisβ haiwezi kusemwa bila kuonyesha kifungu cha sheria kinachosema hivyo.
Katiba ya CCM na sheria ya stahili za viongozi wa kitaifa ni nyaraka mbili tofauti.
Wanafuata katiba kwa mambo yanayowasaidia wao . Kwa mambo yanayokinzana na wao na yapo kwa katiba hawataki kusikiaKwani wanafuataga Katiba hawa CCM? Akijitutumua tu, wanamfutia mafao na hatafanya chochote.
Kwani Lissu alilipwa stahiki zake zote? Na nani anajali.!!
Kama kuna watu wa kumshauri Nchimbi wamuambie tu awe HUMBLE.
These monsters they will come after him
Mahakamani!Lowassa alivyohamia Chadema bado aliendelea kupata mafao yake kama waziri mkuu mstaafu.
na alizikwa kwa heshima zote kama PM mstaafu.
Kwahiyo Emma anastahili Mafao yake.
Labda wamfanyie figisu figisu.
Na wakimfanyia ataenda mahakamani. Na atawashinda.
πππNchimbi siyo/ hakuwa makamu wa Rais halali.
Sidhani ingawa Sheria inamlinda.Analipwa kama kawaida rejea Lowasa
Huo uchuro unaoa wewe. Muulize Hayati Maalim Seif na Hayati Mzee Jumbe kama walikuwa hawapati mafao yao.Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu.
Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu.
Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi tujuavyo chama chake kilivyo na hiana wataona kumfukuza chamani wao ndio wasimmizi wa mafao yake.
ACHENI KUFIKIRI HIVYO, maana kwenye hili Nchimbi ameipiga bao CCM na yeye ni mshindi.
Absolutely!! Ukitunishiana msuli na mfumo wanakupoteza tuWanafuata katiba kwa mambo yanayowasaidia wao . Kwa mambo yanayokinzana na wao na yapo kwa katiba hawataki kusikia
Kwa kosa gani? Ana immunity hivyo hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote. Labda yaibuliwe makosa ya kabla ya kupata immunity.Mahakamani!