Kwa kosa gani? Ana immunity hivyo hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote. Labda yaibuliwe makosa ya kabla ya kupata immunity.
Aidha, Mahakama ni public hivyo audience yake sio watanzania tu bali dunia nzima. Akishtakiwa atakuwa amepewa platform ya kusema atakalo kuhusu serikali na chama chake.
Amandla...