Yatapita msijaliπAisee tunaumia mashabikiπ
ππππAisee kocha gani hana hata plan B?π
Aendelee tu kubaki, kikubwa afanye mabadiliko kwenye mbinu zake
Namuunga mkono hakuna kubadilisha mfumo π πNa mwamba kakaza amesema habadirishi mfumo wake ni huo huo mpaka atake mwenyew π