Tapeli Amorim zee la mabeki watatu.
Hapo Man U mfanyakazi pekee asiye tapeli ni dereva wa basi la timu tu.
Anawapeleka kwa wakati nyumbu FC uwanja wa timu pinzani bila kuchelewa hata sekunde kwenda kula kipigo takatifu kisha anawarudisha kwa wakati Old Trafford kwenda kuugulia maumivu.