Habari wandugu,jaman hv kuna mwenye feedback za field reseacher.kuna nafasi zilitangazwa kuwa wanahitajika field researcher 10.mwenye taarifa atujuze plz.

Zilitangazwa na nani? Wapo wengi walio post hizo nafasi,unaulizia zipi?[/QU zilitangazwa na savannas forever tz,NGO yenye maskan yake Arusha

Ahaaaaa! Kaka kuwa mvumilivu,na pia walisema only shortlisted will be contacted na ukiona kimya ujue ETI you have to consider yourself unsucessful.Ila subiri na vuta subira,mkuu si unajua watu walikuwa likizo!