Vp zile nafasi za field reseachers

Vp zile nafasi za field reseachers

Makunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
771
Reaction score
551
Habari wandugu,jaman hv kuna mwenye feedback za field reseacher.kuna nafasi zilitangazwa kuwa wanahitajika field researcher 10.mwenye taarifa atujuze plz.
 
Habari wandugu,jaman hv kuna mwenye feedback za field reseacher.kuna nafasi zilitangazwa kuwa wanahitajika field researcher 10.mwenye taarifa atujuze plz.

Zilitangazwa na nani? Wapo wengi walio post hizo nafasi,unaulizia zipi?
 
Habari wandugu,jaman hv kuna mwenye feedback za field reseacher.kuna nafasi zilitangazwa kuwa wanahitajika field researcher 10.mwenye taarifa atujuze plz.

Hutapata msaada we jamaa kama hutasema za shirika gani??
 
Zilitangazwa na nani? Wapo wengi walio post hizo nafasi,unaulizia zipi?[/QU zilitangazwa na savannas forever tz,NGO yenye maskan yake Arusha

Ahaaaaa! Kaka kuwa mvumilivu,na pia walisema only shortlisted will be contacted na ukiona kimya ujue ETI you have to consider yourself unsucessful.Ila subiri na vuta subira,mkuu si unajua watu walikuwa likizo!
 
Back
Top Bottom