VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

Mkuu grafani11 kabla mnyama hajaingia buchani kuitafuna mbeya city, maji na juice za azam ni haki yake kuvitumia siku ya jumamosi.
Sawa kabisa Mkuu. Tulianza na Miwa ya Manungu, tukasukumia na maji laini ya Ndanda, sasa ni zamu ya kuzitendea haki chapati na juice za Azam.
 
Yanga vs ruvu shooting uwanja wa taifa dar. Ndanda fc ya mtwara vs Simba ya dar uwanja wa Nangwanda hapa mkoani mtwara, kutoka hapa Nangwanda mtakuwa nami reporter wenu mkolaj, na huko taifa mtakuwa na makoye matale akishirikiana na Amavubi, huko Shinyanga Azam fc vs Stand united mtakuwa nae Deo corleon. Karibu sana wadau wote wa mpira miguu. Matokeo, yanga 0-0 ruvu shooting, ndanda fc 0-2 simba, stand united 0-1 azam fc. Kagera suger 0-1 Mbeya city, Mgambo jkt 0-0 Tanzania prisons
Mkuu habari ya asubuhi?
 
Sawa kabisa Mkuu. Tulianza na Miwa ya Manungu, tukasukumia na maji laini ya Ndanda, sasa ni zamu ya kuzitendea haki chapati na juice za Azam.


Mkuu safari hii lazima waitambue simba
Kinacho tu cost sisi ni migogoro ya ndani tu
Otherwise hakuna timu inayoifikia simba kwa ubora East and Central Africa
Kwa philosophy ya timu na ubora wake
Kudos Simba
 
Mkuu safari hii lazima waitambue simba
Kinacho tu cost sisi ni migogoro ya ndani tu
Otherwise hakuna timu inayoifikia simba kwa ubora East and Central Africa
Kwa philosophy ya timu na ubora wake
Kudos Simba
Hapo kwenye migogoro ndipo timu inapoyumba, ingekuwa Simba ni mbovu kwanini inapoamua kuwa kitu kimoja kwenye mechi kama za Simba na Yanga au kwenye mechi za kikombe uwanjani hakuna timu inayotoka Salama mbele yetu.

Siku migogoro itakapo kuwa historia kama mwaka 2012 bila shaka kuna mtu badala ya bao 5 sasa tapigwa Wiki moja au zaidi.
 
Back
Top Bottom