VPL 18/01/2017 - Mtibwa 0 vs Simba 0

VPL 18/01/2017 - Mtibwa 0 vs Simba 0

wanasema eti kiwanja kibovu.....utadhani pori lao la kule bunju ni zuri kuliko hiki kiwanja.....


Sisi tuna eneo la ardhi wewe una bwawa kwani unashiriki mashindano ya kuogelea mtani?
 
Naomba muache kutumia neno MKIA maana unaingiziwa sehemu fulani kuleta watoto. Kama kwa utani basi tusijidhalilishe wanaume.Ita matopeni sijui mchangani ili nawe uitwe Chura wa sunura,ndala,mkodisho ama mbeleko Fc.
 
Acha upotoshaji wewe! Game bado inaendelea

live 219': Mtibwa sugar 0:0 Simba
 
Timu yangu inanikatsha tamaa sina raha kabsaa leo
Sisi tuna eneo la ardhi wewe una bwawa kwani unashiriki mashindano ya kuogelea mtani?

Ficha aibu yako Mkuu....

utakuja kujidharirisha pasipo na sababu ya kujidharirisha...

Kama hujui na haufuatilii masuala ya soka ni bora ukawauliza jirani zako hapo kwako.

''MANJI AIZAWADIA YANGA EKARI 715 ZIJENGWE UWANJA NA FACILITIES ZA KISASA MAENEO YA UFUKWENU KIGABONI.''

Bonyeza link hii hapakama ulipitwa na Habari [Manji aizawadiwa Yanga ekari 715 zijengwe uwanja wa kisasa maeneo ya Kigamboni | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today]

Nyinyi huko Bunju mna ''kipande cha ardhi''kama ulivyosema ''eneo la ardhi''....

sisi tuna ''Jieneo La Ardhi''...
 
Mavugoaaal nasikia kapiga hat trick leo anawakimbilia akina Tambwe na Msuva kwa kushuka chini
Tangu mara ya mwisho anafunga.....



zimepita dakika 1058 za ''uwanjani'' akiwana :-

9 shoots on target
13 shoots off target
2 yellow card
12 offsides
 
Timu yangu inanikatsha tamaa sina raha kabsaa leo
Mkuu usiwe unapenda kufuata mkumbo sana...Unapo sikia Manara anawahakikishia mashabiki wa simba kuwa msimu huu ni lazima wawe mabingwa ujue ni danganya toto tu..

kuna wenzako walishalitambua hili toka kitambo kuwa simba haina uwezo wa kubeba ndoo yeyote ile....huwa wanacheck game kama ni sehemu ya burudani tu, na sio kwa matarajio ya kuwa mabingwa..
 
Wataanza kutafuta mchawi hawa
Huyo hapo juuu!

kashaanza kusema wachezaji, makocha na uwanja ni tatizo....

huwa najiuliza wanapo waza kuwa mabingwa huwa hawaelewi haya au....?
 
Wadau wa Msimbazi vipi tena..... mbona kimya??

====
Mpira ni mapumziko; Mtibwa 0, Simba 0
Kipindi cha pili mpira bado ni bila kwa bila
Mpira umekwisha; Mtibwa 0, Simba 0
Ha ha ha simba wapole sana. Mji umetulia tuliiiii in lowasa's voice. Difference ya point 2 tu
 
b899bf193305552ccbb9bb47b66a705f.jpg
 
Timu ina stress ya kuliwa kimoko cha nguruwe pale Unguja.
 
Hahahahahaaaaa sare vepeeee?
Jamani ubingwa wa bara ni wa Yanga milele.
Wengine wanafanya mazoezi tu.
 
Back
Top Bottom