VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Bila shaka atakuwa kashaelewa sasa...

Watu8 = Young Africans Sports Club a.k.a. Timu ya Wananchi, usimfananishe na mikia kabisa, atatapika fasta akiendelea kusoma maneno hayo!
 
Last edited by a moderator:
yangaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeee.......
 
Aidha Ngarna na yahoo hawatakuwepo hapa jamvini, tuendelee kuwaombea dua warudishwe mapema iwezekanavyo.
Vipi tena wamekula red card kwa ule msukosuko wa jana au kuna lingine!!
Oooooh! Nitammisi sana mkuu yahoo....
Pole sana mtani Ngarna.
 
Last edited by a moderator:
Daah Azam katunyima uhondo online, naona azam two wataonyesha azam na mbeya city

Au watakuwa wanabadilisha badilisha kuonyesha tuone na mechi ya yanga vs coastal union
 
Hawa cost wanaleta uchawi wamemwaga damu uwanjani timu ikishuka uwanani
 

Coastal tutawapiga ila maneno yako ya kuiita Coastal timu dhaifu siyo ya kiuanamichezo kabisa.
Kitaalam inatakiwa coastal tuichukulie kwa uzito sawa na Simba, Azam, Mbeya City, Kagera n.k

Mbele daima nyuma mwiko
 
tuna mechi 3 mkononi dhidi ya mikia fc, tukishinda leo tunabakiwa na mechi 2 mkononi huku tumemwacha point 8

Mkuu namanyele hao mikia si wakuzungumziwa, washapoteza mwelekeo kitambo.
Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Khaaa!!! hawa Azam Two niliokuwa nawategemea wanipe uhondo wa Yanga naona wapo na mechi ya Azam na MCC...

Hii ya Yanga itabidi niifuatilie hapa tu..maana wanaonesha channel no 100 ambayo haipo haifanyi online streaming...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…