Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Lakini mkumbuke Bin sulum karudi rasmi coastal kuokoa jahazi na hii ndo mechi yake ya kwanza.
Siyo huyo tu na SSB naye yumo, tutawafunga wote hii leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mkumbuke Bin sulum karudi rasmi coastal kuokoa jahazi na hii ndo mechi yake ya kwanza.
Azam anakipiga leo na mbeya city.
Mkuu kitambo sana sijakuona humu!!! vp kulikoni huko?yangaaaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeee.......
Kabisa mkuu..watu 8 ni zaidi ya Yanga damu humu jukwaaniWatu8 = Young Africans Sports Club a.k.a. Timu ya Wananchi, usimfananishe na mikia kabisa, atatapika fasta akiendelea kusoma maneno hayo!
Anacheza namba ngapi?
Hawa cost wanaleta uchawi wamemwaga damu uwanjani timu ikishuka uwanani
Leo ndiyo leo mtoto hatumwi dukani.
Baada ya vijana wa jangwani kufanya mambo makubwa na mazuri kwenye Kombe la Shirikisho leo watakuwa Uwanja wa Taifa kukipiga na timu dhaifu kabisa Coast Union kutoka Tanga.
Tutashuhudia leo mtu anakula goli 5 bila. Kama una bet mpe Yanga ushindi and 3+. Bila kusahau pia kuna mechi nyingine chamazi kati ya Azam FC (lamba lamba) na wagonga nyundo wa jiji la Mbeya( Mbeya City FC).
Karibuni tupeane updates
Vipi tena wamekula red card kwa ule msukosuko wa jana au kuna lingine!!
Oooooh! Nitammisi sana mkuu yahoo....
Pole sana mtani Ngarna.
Game inaanza saa ngapi iyo nikae jrn na tv,siku ya kuwachinja etoile nitakuja dar lazima