VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Daah Azam katunyima uhondo online, naona azam two wataonyesha azam na mbeya city

Au watakuwa wanabadilisha badilisha kuonyesha tuone na mechi ya yanga vs coastal union

Nyie si mlikataa wasionyeshe mpira wenu
 
Khaaa!!! hawa Azam Two niliokuwa nawategemea wanipe uhondo wa Yanga naona wapo na mechi ya Azam na MCC...

Hii ya Yanga itabidi niifuatilie hapa tu..maana wanaonesha channel no 100 ambayo haipo haifanyi online streaming...

wamenikata stimu kweli yaani
 
Mkuu..Nchunga vs Dalali, hv dalali mlimuondoa kwa kigezo gani mkuu?
Kipindi cha Dalali timu haikuwa na tatizo uwanjani, tatizo tu alikuwa ameishia la saba. Alimaliza kipindi chake cha uongozi ndo baadaye akaingia Rage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…