mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Tunajipigia azam yenye bakheresa waukweli sembesu hao coastal wenye bakheresa feki!!!Baharesa wa tanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajipigia azam yenye bakheresa waukweli sembesu hao coastal wenye bakheresa feki!!!Baharesa wa tanga.
Daah Azam katunyima uhondo online, naona azam two wataonyesha azam na mbeya city
Au watakuwa wanabadilisha badilisha kuonyesha tuone na mechi ya yanga vs coastal union
Khaaa!!! hawa Azam Two niliokuwa nawategemea wanipe uhondo wa Yanga naona wapo na mechi ya Azam na MCC...
Hii ya Yanga itabidi niifuatilie hapa tu..maana wanaonesha channel no 100 ambayo haipo haifanyi online streaming...
Nyie si mlikataa wasionyeshe mpira wenu
Nyie si mlikataa wasionyeshe mpira wenu
Nadhani Mbeya City na Coastal Union hawataniangusha.
Manji kawakamata, angekuwa kama Nchunga wangekuwa wameshamwondoa muda mrefu.
Nyie si mlikataa wasionyeshe mpira wenu
Unakuwa kama humfahamu 'Julio'...
TAMBWE anavyozidi kutupia, Mikia wanaumia sana!!
Kipindi cha Dalali timu haikuwa na tatizo uwanjani, tatizo tu alikuwa ameishia la saba. Alimaliza kipindi chake cha uongozi ndo baadaye akaingia Rage.Mkuu..Nchunga vs Dalali, hv dalali mlimuondoa kwa kigezo gani mkuu?